Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,111 Reaction score 28,020 Sep 7, 2020 #81 Biashara ni kuuza na kununua, ukiona biashara ipo wateja wanapatikana
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,111 Reaction score 28,020 Sep 7, 2020 #82 Kwizer said: Narudia tena Wazazi tengeni muda wa kuzungumza na watoto wenu wa kiume ili kuwajenga kuwa Wanaume hapo badae. Ona mpuuzi huyu, ulidhani uanaume ni kupiga picha tu na kupost instagram? Hata Maandiko Matakatifu hamyasomi!? Click to expand... Umeona eee, wababa wabadilike siku hizi wanaume bora niwakumulika na tochi la chana!
Kwizer said: Narudia tena Wazazi tengeni muda wa kuzungumza na watoto wenu wa kiume ili kuwajenga kuwa Wanaume hapo badae. Ona mpuuzi huyu, ulidhani uanaume ni kupiga picha tu na kupost instagram? Hata Maandiko Matakatifu hamyasomi!? Click to expand... Umeona eee, wababa wabadilike siku hizi wanaume bora niwakumulika na tochi la chana!