Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Habari za asubuhi, Wana JF
Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto
Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini.
Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri, heshima yetu inapungua kwa watoto ndo mana watoto wengi hawana upendo na baba zao. Kama nimekosea au nimekukera Jambo fulani niite chumbani tuyamalize...sio sebuleni mpaka watoto wanatushangaa