Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

Pole utazoea, kuepekana na hayo jiepushe na marumbano na mkeo/mpenzi... ni sawa na kufungulia sub-woofer kisha ukalalamia sauti kubwa. Kila mara ignore, ukiona dalili za kujibizana mpuuze... huo ndo uimara wa mwanaume.
Nikiona malumbano yanazidi Sana nakaa kimya au naondoka nisije nikaua bure
 
Screenshot_20230306-215900_1.jpg
 
Huu ujumbe ungeupeleka kwa wanandoa wote bila kujali jinsia. Mbona wanaume ndio mnaongoza kutufanyia vitendo vya unyanyasaji mbele ya familia hata nje mbele ya jamii?
Baadhi ya wanaume wasiojielewa wako hivo
 
Ndio maana wakaitwa hawa, na kumbuka mwanaume anaweza kukaa na kitu/ jambo hata mwaka mzima, ila mwanamke akilipata usiku ataomba asubuhi ifike mapema akaliseme. Ulishajiuliza kwanini Saloon za kike hazinaga Redio?
Wambea Sana hawana kifua Cha kutunza vitu
 
Wanawake wanapenda sana ku-acts kama victims ili waonewe huruma
 
Watoto ndio kimbilio lao, hata ukijituma vipi kuhangaika kuwatafutia watoto na mke ujanani uzeeni utatengwa mama uwalisha sumu watoto baba yenu alikuwa ni mlevi tu Mimi ndio nimehangaika mkasoma.
Kiasi upo ugomvi Kati ya mwanaume na mwanamke
Ndoa ni utumwa miaka yote unaangaika na familia uzeeni wanakutenga
 
Back
Top Bottom