Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Siwezi kufanya ujinga kama huoHabari za asubuhi, Wana jf
Hivi kwa Nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto....
Pole utazoea, kuepekana na hayo jiepushe na marumbano na mkeo/mpenzi... ni sawa na kufungulia sub-woofer kisha ukalalamia sauti kubwa. Kila mara ignore, ukiona dalili za kujibizana mpuuze... huo ndo uimara wa mwanaume.Habari za asubuhi, Wana jf
Hivi kwa Nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto
Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani,unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini.
Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri,heshima yetu inapungua kwa watoto ndo mana watoto wengi hawana upendo na baba zao.Kama nimekosea au nimekukera Jambo fulani niite chumbani tuyamalize..sio sebuleni mpaka watoto wanatushangaa
Siku moja moja unamsutua kitaalam ili akili imrudi kutoka kwa Zumarid!!Saa zingine unatamani urushe ngumi ya mdomo ila unamuonea huruma
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Utaua mtoto wa watu bureSiku moja moja unamsutua kitaalam ili akili imrudi kutoka kwa Zumarid!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wanawake wana karama ya kutoa au kupeleka habariHabari za asubuhi, Wana JF
Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto...
Amani ipo ugomvi wa siku mojamoja😄😄Kishaumana😀😀
Poleee
Watoto wanalishwa sumu na mama zao mkuuBora awaeleze watoto au majirani? Mi naona Bora anayeeleza watoto inakuwa Siri ya familia.
Sio wote mkuu wengine wako vizuriWanawake hawanaga akili
Nakazia ni ukweri kabisaWanawake waache kusali kwa zumaridi