Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

Zamani wakati sijazijua vizuri saloon za kike nikajua Wana wateja Sana kumbe wamejazana kupiga umbea tu na kuwasema wanaume
Halafu hizi salon za kike si wateja sio wamiliki wanajiachia sana yani mapaja nje nje. Hadi vichupi vyao wanatuonyesha.

Zaidi ya kuwa salon nafikiri ni madanguro pia

Sijawahi kuona salon ya kike wanaobehave vizuri. Wamekaa kimalaya malaya tu

Sijui kwa nini? Hebu nipe uzoefu wako mkuu
 

Na saloon nyingi za kike ni za wadangaji
 
Wanawadharau sana wame zao. Tatizo hili linasababishwa na mazoea.
 
Ukiishi nao sikio moja, mguu mmoja ndani mwingine nje. Ukiwa nae mtacheka kwelikweli, toka kidogo nae aende kwa shoga yake utajua hujui. Yani majirani zako watakua wanakunua hadi utumbo
 
Eti wengine wanawaambia watoto “ bana yenu ana mwanamke mwingine nje (Mchepuko) [emoji848][emoji848]

Unakuta watoto wadogo hata hawaelewi kile wanachoambiwa na mama yao maana yake ni nini?!

Hivi unapanda mbegu gani kwa huyo mtoto Mdogo?

Ataenda Shule kuwauliza wenzio mama kasema hivi kuwa baba ako na mwanamke mwingine lakini sikumuelewa!
 
Wanandoa wanahitaji mafundisho ya kisaikolojia ya mahusiano.

Wengi huishi kwa mapokeo tu.
 
Wanawake mafriji yao haya gandishi na ndio maana wamenyimwa koromeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…