Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

Umenena dada
 
Paragraph ya mwisho ndo mnaishia kufa kwa stress au kujiua.

Tiba ya usaliti ni KISASI.
 
Hawasikii mpaka damu itoke masikioni hawa...
 
Yaani nijiue kisa mwanaume au mapenzi?!!never ever on earth dogooo!!!
Hakuna hicho kitu bwana
Kuachana kupo ila usitie sumu wenzako
Maana sio Kila ndoa chungu bwana
Dear mie nasemea kwenye usalitiiiiii,, usaliti hauna tiba zaidi ya kisasi, aidha kuachanaa

Ukitia ngumu ndo unaishia kufa kwa pressure au kujiua.
 
Heshima hailazimishwi, muhimu ni mawasiliano na upendo, ukiona baba anatoka analala nje siku mbili bila maelezo ya kutosha au mwanamke haagi kwa sababu jana mme hukuaga, hakuna ndoa hapo mnapoteza muda tuu na tafuta pa kutokea kabla hamjauana
 
Dear mie nasemea kwenye usalitiiiiii,, usaliti hauna tiba zaidi ya kisasi, aidha kuachanaa

Ukitia ngumu ndo unaishia kufa kwa pressure au kujiua.
Mmekuelewa dear!!!ila kujiua kaàhhh hapana!!
Excuse me
 
Nipo mdogo wangu, naona mmenyoosha maelezo kiasi kwamba inabidi tuwatakie ijumaa njema tu!
Tunakumbushana haswaa kipindi hiki Cha miezi ya Toba,tusichupe mipaka
 
Aisee kama kwwli vile🤣🤣🤣🤣
Ila ngoja shetani awapatue pesa yote haya yanapotea.
Umeongea point sana. Kumbe una miakili hivi😲😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…