Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

Wewe kama mwanaume, unakubali kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Kama jibu lako ni ndiyo, basi hupaswi kushangazwa na baadhi ya maamuzi au matendo yake.

Kinachoshangaza ni pale unapokubali kuwa ana udhaifu wa kibinadamu, halafu baadaye unakuja kushangaa anapofanya maamuzi yanayoakisi huo udhaifu.

Ukishakubali msingi huo, utakuwa na matarajio yanayoendana na uhalisia badala ya kutarajia ukamilifu usiokuwepo.

Kwa case ya lisa na mabeste ni matokeo ya udhaifu wa mwanamke uliotokana na uzembe wa mwanaume
 
Hebu tueleze huko kutokukaa kwenye nafasi yake Mabeste ukihusianisha na kipindi cha matibabu ya binti
 
Ingawa tumesikia upande mmoja tu wa shilingi, ila hii habari inaumiza sana
Ingekuwa vyema na huyo Mke atoe ya kwake
Hoja ya mke ni dhaifu, eti mwanaume alikua ana penda kulala sana yani habebi majukum, sasa swali, kama mwanamke alikua fighter alipo ugua Kwa Nini mwanaume alichangisha tena Kwa kufanya show na wenzie Kwan mke hakua na akiba
 
Siku ya kwanza nasikia story za mapenzi ya mabeste na Lisa, nilihisi ipo siku huyo demu atampiga za uso.

Ilikuwa 2013 au 2014 walienda clouds kwa ajili ya interview. Mabeste alikuwa kwenye mgogoro wa maslahi na producer Hammy B!

Yule demu alimnanga sana Hammy B, akatoa matusi mengi na shombo nyingi sana. Mabeste navyo lilivyo fala la mapenzi kwa huyo demu likawa linachekelea tu.

Akasahau Hammy B ndiye aliyemtoa mabeste, kutoka kumrecodia bure hadi nguo za kwenye video alikuwa anamwazimia na kumtoa mikwanja kabla hajatoka.

Jamaa alivyohit akamsikiliza demu na kuwasahau waliomtoa. Hata kama walimnyonya angetafuta solution njia nzuri, sio kumtukana kwenye media.

Sitashangaa kusikia hata huko Marekani kaolewa na mwanamke. Once a simp always a simp
 
Wanaume wanaongoza kuumiza wanawake kutelekeza famlia kuwapiga wenza wao matukio usaliti,vipigo kutembea na ndugu had wasichana wa kazi na mengine mengi mbona km yenu mnayaonaga madogo sana kuliko ya wanawake wakt nyie ndo vinara wa kuumiza mioyo ya watu,hii inanifikirishaga sana
 
As long as mwanamke alisaliti hakuna story zaidi ya hiyo,hata kama mwanaume alifanya kosa gani kubwa huwezi kusaliti kwa kuwa alifanya hivyo
Kuolewa si MBAYA, ila tatizo kuolewa na mdogo ake mwanaume
Kumbe ndo mana alivo pata shida ni kama wana walimkaushia hivi badae ndo wakaona jahazi inazama
 
Tuoneshe wapi mabeste alimgonga ndugu yake au kutembea na beki tatu, tuoneshe wapi mabeste alikimbia mkewe kwenye ugonjwa hatari kama huo?
 
We ndo lisa nini? Mbona unaongea kwa uchungu sana
 
kabisa mabeste alizingua kumtibisha alifaa amwache akate moto mapema sana
 
SAWA tufanye jamaa alizingua lakini mwanamke hakuona mwanaume mwingine wa kutoka nae adi atoke na rafiki wa Mume wake,..maana yake alidhamiria kumuumiza mshikaji so anatokaje kwenye hii lawama?
 
We ndo lisa nini? Mbona unaongea kwa uchungu sana
Hata mi nime tafakari, sana mbona huyu jamaa kamkomalia Lisa Lisa, alafu anajua Hadi mambo ya ndani ya kifamilia, mfano Lisa kuhudumia familia, mabeste alikua anafanya show je alikua halipwi? Na kama alilipwa je hela alipeleka wapi? Watu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…