Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Kuna wanawake ni warembo sana wakiwa hawana make up, yani toto limesuka twende kilioni lakini roho yako inasuuzika.
Dame wangu hapaki make up na alishazikataa. Hapaki kucha rangi. She is humble, she cares.

Siyo ombaomba unlike other girls niliodate nao. Anajua maisha nini. Japo hela huwa nampa.

Above all ni mrembo.

She has my repect.

Mapema mwakani namvuta ndani.
 
Jamani tunafunga nywele maana haitakiwi tupike na nywele wazi zitaangukia kwa chakula jamani. Sasa kutwa nzima nimejibana nikirudi home kadera lazima kahusike mwili upumue kidogo.
Hivi anaechukia dera labda mkewe awe hana chura πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kwa wale wenye mizigo napendekeza dela lipigwe bila solex
 
Kuna wanawake ni warembo sana wakiwa hawana make up, yani toto limesuka twende kilioni lakini roho yako inasuuzika.
Hawa mimi ndiyo nawahusudu sana.....kuna wanaonyoa bila makeups huwa wanapendeza sana ....mi mke wangu ananiuzi sana na yale mawigi yake na makeups.....akiyaondoaga huwa anakuwa mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…