Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Kuna wanawake ni warembo sana wakiwa hawana make up, yani toto limesuka twende kilioni lakini roho yako inasuuzika.
Dame wangu hapaki make up na alishazikataa. Hapaki kucha rangi. She is humble, she cares.

Siyo ombaomba unlike other girls niliodate nao. Anajua maisha nini. Japo hela huwa nampa.

Above all ni mrembo.

She has my repect.

Mapema mwakani namvuta ndani.
 
Kuna wanawake ni warembo sana wakiwa hawana make up, yani toto limesuka twende kilioni lakini roho yako inasuuzika.
Hawa mimi ndiyo nawahusudu sana.....kuna wanaonyoa bila makeups huwa wanapendeza sana ....mi mke wangu ananiuzi sana na yale mawigi yake na makeups.....akiyaondoaga huwa anakuwa mzuri sana
 
Back
Top Bottom