Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

Kwahiyo unapiga tu maisha yako yote wala USIZAE? Maana ukizaa tu, kubambikiwa njenje tena unakuja kugundua litoto likubwa tayari..!!
Sijasema usizae nimesema usimwamini mwanamke ambae upo nae kwenye mahusiano awe mchepuko awe mkeo usimwamini ile kumwamini maana yeye ni binadamu muda wowote anaweza akakupiga tukio ambalo litakuachia jeraha lisilofutika kamwe
 
Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""

Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nimemwambia katika misemo ya kupuuzi ni huo msemo! Hivi hawa watu wanajua how It hurts?
Mimi almanusura nisingiziwe watoto 2! Wapuuzi sana hawa wanawake
Nilipokuja kugundua 4 years now nilikata mawasiliano.
Wanaume wengi sana wanalea watoto sio wao huku mama zao wakijua ukweli na kudiriki hata kuwa wanaonana na huyo jamaa aliyemzalisha.
 
Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""

Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukiangalia kiundani ukiachana na usaliti uliotokea. Watu wazamani hawakuwa wapumbavu kama unavyosema, walijali watoto. Ilikuwa ni kuhakikisha huyo mtoto 'haramu' ndani ya ndoa hakosi malezi ya baba na mama hata kama baba si wake sababu hana hatia.

Hao 'wapumbavu' wa zamani walijua kuwa hatima ya huyo mtoto ni kubwa kuliko uharamia uliofanyika.

Halafu kwa wanaume, nguvu za kiume sio uzazi. Unaweza kuwa unawaga lkn hamna kitu
 
Ukioa msukuma unakuwa na uhakika wa kuwekewa madawa ya kichawi ya kukuua, karibia kila nyumba ni wachawi kwa asilimia 95
 
😂 nimemjibu mwenzako hapo juu.

You're welcome!
Yes nimeona shida ni kwamba" wanawake wa zamani hawa mama zetu walikua na heshima kiasi kwamba hata kama alipiga hilo tukio hawezi kuleta dharau kwa mme wake.
Ila hawa wa sasa hivi anakupiga tukio na bado wana mawasiliano na huyo jamaa na ukiendelea zaidi anaweza kuambia kwanza hawa watoto wote sio wako na umeshajitoa kwa mambo mengi juu yao.
Kitu kingine Majira na Nyakati hubadilika! Nyakati hizi ni za kizazi kingine kwahiyo mambo mengi hubadilika.

Mimi nipo hivi; ni bora uniambie tu ukweli kuwa niliteleza kwahiyo baba fulani huyu mtoto sio wako! Aiseeh nitakuona muungwana sana. Kuliko kunificha miaka inasonga natumia energy kubwa mwisho wa siku mambo yanavurugika.

Ni bora kujihadhari mapema.
 
Ukioa msukuma unakuwa na uhakika wa kuwekewa madawa ya kichawi ya kukuua, karibia kila nyumba ni wachawi kwa asilimia 95
Aiseeh acha kabisa si nilipata msukuma toka bariadi huko nilizaa nae mtoto wa kwanza ni Wangu kila kitu ni mimi Ila huyu wa Pili alinipiga tukio..
Akawa anafosi kubambikia mtoto wakati nilishajua kila kitu. 4 years now nilishakimbia na deal na mtoto wangu tu huyo mmoja.

Mbaya zaidi; akawa anaenda kwa Sangoma kunivurugia mambo yangu na kule vilinge kila nyumba. Kashindwa maana na mimi napambana na Maombi.

Tuwe makini sana hasa hizi Koo wanaume tunazoingia. Ni vizur kuchunguza ukoo wa mtu kabla ya kujicommit.
Sasa hizi za siku hizi vijana wanakutana juu kwa juu ndo ina madhara makubwa sana.
 
Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""

Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
maana yake hakuna Binadamu ambaye ni Haramu kwa Binadamu mwenzie.Hivyo kila anayezaliwa na Binadamu na yeye ni Binadamu bila kujali kazaliwa na nani na katika mazingira yepi.
 
Back
Top Bottom