Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

Kuna ukatili mkubwa sana anaofanyiwa mwanaume kwenye jamii yetu, na hakuna anayejali.

Hili la paternity fraud ni Moja ya mambo mazito yanayoweza kuleta madhara makubwa sana kwa Mwanaume ikiwemo kujiua au kuwa kichaa wa Moja kwa Moja.....

Na ndio maana Kuna muda Mimi nikiskia mwanaume kamchinja mkewe huwa sikurupuki na kumlaumu yule mwanaume, yawezekana labda ana sababu ya msingi sana ya kufanya maamuzi hayo ikiwa pamoja na hili la kufanyiwa utapeli wa uzazi(paternity fraud)
 
Kataa ndoa na wanawake battle yao uwanjani ni balaa... Zinapitwa counter attack za kimafia...
 
Haina polee
Waambie watomb(e) na kupita hivi.
Ushawahi ona mwanaume Hit and Run anakumbana na haya???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wanawake kwenye mahusiano wana mambo mno ya ajabu ukisema kila mwanaume asema yaliyomsibu dunia itakua ndogo, nna bro wangu mmoja yeye alichofanyiwa sema bro ana moyo sana sasa hivi anaishi na maumivu sababu ya ndoa ya mke mmoja na ukioa umeoa bro alikuja kugundua mkewe alipoenda chuo alipokuwa chuoni alikua na mahusiano na mwanaume mwingine wenzie wanaomjua wakawa wanamtonya bro anabisha ila kelele zilipokua nyingi ikabidi aanze kufanya utafiti mwenyewe wa hapa na pale alichofanyiwa alidukua simu ya mkewe kweli akayafuma madudu ya kutisha mno alichokifanya alichukua ushahidi wote akahifadhi kisha siku hio moja akajaribu kumhoji kuhusu km kweli anamsaliti mkewe akasema wala hamsaliti akamuuliza kweli akasema kweli, sasa unajua bro alichokifanya?

Alienda facebook kule mkewe ana akaunti anaitumia ameunganisha ndugu, jamaa na marafiki, alichokifanya bro alimtafuta mtu akaiduku akaunti ya mkewe kisha akaweka ule ushahidi wote aliouchukua kwenye simu yake kwa hio ukaonwa na kila mtu hata mimi nimeona na mpaka leo ukiingia fb ushahidi upo jambo ambalo mkewe limemuumiza mno ila kuifuta akaunti hawezi sababu hana password maana aliedukua alibadili password na kila anaemwambia afanye mchakato aifute akiingia na kuone ule ushahidi anaona huyu mwanamke msaliti anaachana nayo kwa hio imebakia tu fb alichomsaidia jamaa aliedukua baada ya kuona atadharirika sana alienda akabadilisha jina tu basi kwa hio mpaka leo ukiingia fb kwenye akaunti yake ushahidi unaukuta alimsaliti mumewe

Wanawake acheni kua wasaliti
 
Lakini we mlima parachichi kuna shida mahali,haiwezekani umesharidhika na maisha yako ya kutooa alafu kutwa uhangaike na wanaooa.
Kwa nini usijikite zaidi upande ulio uchagua ?hii sio kawaida
 
Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""

Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pengine huna uwezo wa kuzalisha kwaiyo kaamua kukutafutia mwanaume mwingine akuheshimishe
 
Lakini we mlima parachichi kuna shida mahali,haiwezekani umesharidhika na maisha yako ya kutooa alafu kutwa uhangaike na wanaooa.
Kwa nini usijikite zaidi upande ulio uchagua ?hii sio kawaida
Usimwamini mwanamke
 
Mhm...eti mwanamke wako peke yako 🤣🤣🤣🤣
Wanaume wengine wajinga sana🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna mwanamke aise chepuka hapa duniani
 
Twende "direct" kwenye mada.

Chekini haya mateso ya ndoa.

Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo.

Hebu chekini hizi comments.

Acheni kuoa MTAKUFA.

#YNWA
YANGA_BINGWA
Haya makomenti ya hivi yapo tu nje na ndani ya ndoa..!! Watu wanahudumia watoto kwa michepuko lakini si watoto wao..!!!
 
Mhm...eti mwanamke wako peke yako 🤣🤣🤣🤣
Wanaume wengine wajinga sana🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna mwanamke aise chepuka hapa duniani
Ukishakula nawa shukuru chakula kilikua kitamu tembea
Haya makomenti ya hivi yapo tu nje na ndani ya ndoa..!! Watu wanahudumia watoto kwa michepuko lakini si watoto wao..!!!
Anachomaanisha usimwamini mwanamke kwenye mahusiano awe mchepuko awe mkeo don't trust her utakufa kibudu mwenye sikio na asikie
 
s

ema upriru baba na utelezi wa kila siku...
Wanaume waliopigwa vitu vizito kichwani na wanawake waliowaamini sana katika mahusiano wakaweza kustahimili maumivu bila kufanya jambo lolote la ajabu au kituko chochote cha karne wana mioyo mizito kuliko wachezaji wa mpira hawana mioyo miepesi hata kidogo na wanajua kuyabeba mambo mazito na kwenda nayo inafika muda wanavunga baadhi ya mambo ili maisha yaende wanaishi na mambo mazito mioyoni mwao ambayo wanaishi nayo bila kumwambia mtu yoyote mpaka kaburini
 
Back
Top Bottom