Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwahiyo unapiga tu maisha yako yote wala USIZAE? Maana ukizaa tu, kubambikiwa njenje tena unakuja kugundua litoto likubwa tayari..!!Mwanamke kwenye mahusiano sio wa kuaminiwa sana wewe pigasepa usiweke kambi
Sijasema usizae nimesema usimwamini mwanamke ambae upo nae kwenye mahusiano awe mchepuko awe mkeo usimwamini ile kumwamini maana yeye ni binadamu muda wowote anaweza akakupiga tukio ambalo litakuachia jeraha lisilofutika kamweKwahiyo unapiga tu maisha yako yote wala USIZAE? Maana ukizaa tu, kubambikiwa njenje tena unakuja kugundua litoto likubwa tayari..!!
Soma ninachomaanisha sio unachomaanisha kuzaa sio big deal nimekwambia usimwamini sijasema usizaeSasa usizae?
msemo wa kipuuzi kabisa huu!Kitanda hakizai haramu
Nimemwambia katika misemo ya kupuuzi ni huo msemo! Hivi hawa watu wanajua how It hurts?Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""
Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukiangalia kiundani ukiachana na usaliti uliotokea. Watu wazamani hawakuwa wapumbavu kama unavyosema, walijali watoto. Ilikuwa ni kuhakikisha huyo mtoto 'haramu' ndani ya ndoa hakosi malezi ya baba na mama hata kama baba si wake sababu hana hatia.Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""
Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
π nimemjibu mwenzako hapo juu.M
msemo wa kipuuzi kabisa huu!
Yes nimeona shida ni kwamba" wanawake wa zamani hawa mama zetu walikua na heshima kiasi kwamba hata kama alipiga hilo tukio hawezi kuleta dharau kwa mme wake.π nimemjibu mwenzako hapo juu.
You're welcome!
Hasira za nini kwani kaka? Au yaliyoongelewa hapa yamekutokea? Nasisitiza pole kama ndo hivyoSawa msaliti #2 una kingine cha kuongeza?
Aiseeh acha kabisa si nilipata msukuma toka bariadi huko nilizaa nae mtoto wa kwanza ni Wangu kila kitu ni mimi Ila huyu wa Pili alinipiga tukio..Ukioa msukuma unakuwa na uhakika wa kuwekewa madawa ya kichawi ya kukuua, karibia kila nyumba ni wachawi kwa asilimia 95
maana yake hakuna Binadamu ambaye ni Haramu kwa Binadamu mwenzie.Hivyo kila anayezaliwa na Binadamu na yeye ni Binadamu bila kujali kazaliwa na nani na katika mazingira yepi.Samahani kwa kusema hili ila ""Hata zamani kulikuwa na wazee wapumbavu, wakatoa misemo ya kipumbavu ili kuja kutumiwa na wapumbavu""
Yaani ugongwe huko halafu uje na "kitanda hakizai haramu..!!""
#YNWA
#YANGA_BINGWA