housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,192
unakera na mawazo yako ya ngono tu. ovyo. kitu ambacho sijawahi kuwaza kabisa!Unabisha bure tu hivi katika viungo vyenye hisia kichwa na kidevu unaviweka...labda unambie kama wewe hata wakikushika maeneo hupati hisia zozote, mana waxing inafanya kwa mikono hasa vidole ndo hutumika zaidi kunyofoa hizo nywele na kwa vyovyote vile lazma mkono uguse ngozi na sehemu zingine nyeti
kama ni sehemu za hisia hata nyuma ya kichwa karibu na shingo ni sehemu ya hisia. tena kinyozi anavyokaa kupitishapitisha shaver na mikono unapata hisia!!! acha kwenda.
narudia, hauendi kushikwashikwa unaenda kuchomolewa nywele. na sio lazima, kama unaona pamoja na maumivu yote unapata migenye isiyokuwa na mpango just don't.
of course ningekuwa na Mtu wa kunifanyia nyumbani ningefanya. nilimwombaga mama zamani akasema hawezi hiyo kazi..
mkeo mtoe na topaz. me kiwembe napitisha nikifilisika tu tena kwa masikitiko. 58k kila mwezi sio mchezo.