Wanawake pindi mnapokuwa na miaka 17-25 kwanini huwa hamshauriki mkasikia?

Hii niliwahi pia kukaa na binamu yangu namshauri Kwa kina mno Tena kama rafiki sidhani kama wiki ilipita kaka zake waka mkamata Msela hapo hapo nyumbani kumbe Huwa analeta Msela anafanya yake hapohapo nyumbani na jamaa ana familia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…