Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Pisi kali yako inaweza isiwe pisi kali kwangu. Kuna mwanamke rafiki yangu akimuona anahaha balaa. Anampatia hata laki akitaka anapokuwa na shida. Ila mimi yule binti nikiwa nae namuona wa kawaida sana si kwamba si mzuri ila hana features za mwanamke anayenibamba mimi.