Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
pis kali ukiikuta hadi kimaumbile ndani ipo vizuri ukakesha nayo, unajikuta asubuhi umepiga goli 12 bila kuchoka.
 
Pisi kali ni mdada wa kisasa mwenye mambo mengi. Vipuli mwili mzima, tamaa, mtu wa mutandao na mwenye kushindana na dunia yaani dunia ikisema kuvaa chupi ni ushamba yeye kesho havai... anajizingatia kuteka wanaume. Kuhusu utofauti sijui kama upo kwa sasa maana asilimia kubwa dunia ya sasa mabinti karibu wote ni pisi kali tu
Hapa Kuna ukweli japo sio asilimia zote,Ina maan kua na pisi kali ni vibaya au inategemea na mtindo wa maisha?
 
  • kugongewa
Umeona kitu hapo mkuu, kugongewa ni sekunde zero
  • pisi kali hazina mapenzi ya kweli
Mwanaume yoyote anazitomba akiamua
  • hawana focus ya maisha
Hapo ndio umepigilia msumali wa mwisho mkuu ila kuna point moja umeiacha

  • wakichoka na kuchakaa basi wanapauka, wanafubaa na wanachakaa kweli kweli kitu bongonyo hakieleweki fogo sio fogo na Pajero sport sio kirikuu

Nakaziaa mkuu..

Nitakuja tena
 
Back
Top Bottom