mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
nyama ile ile tofauti MAPISHI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu zinaonesha wanawaje wenye makalio makubwa wana uwezo mdogo sana wa reasoningMm umenipoteza kabisaaaaaaaa
Mkia akili mkia makalio mkia sura mkia tabia!? [emoji23]
Kwa akili yako huyo aliyevaa nusu uchi ndio kavaa vizuri ?Mwanamke akiwa na sura nzuri na anavaa vizuri kwako ni kahaba na mhuni sio?
Id na content tofauti.Mwanamke pisi kali hana tofauti na usafiri wa Uma..
kila mwenye nauli anakua huru kupanda..
wanaoolewa ni hawa akina Suzuki Carry na Carrina Ti.. unajua ni kwanini? wanahimili maisha
hana jipya , ukute papuchi imechakaa nyeus km tambala la dekEti mtoa mada hutaki mwanamke kama huyu??View attachment 2390065
Kashindwa kuchambua kwa kina ,Kuna pisi zmetulia ile mbayaId na content tofauti.
Funny unasummarize wanawake wote based on appearance only.
Apa umeongea kihisia mkuu ,lakin tunaposema pisi kali in general tunamaanisha mwanamke wa kisasa anaeenda na utandawaziPisi kali wengi wao Ingawa sio wote 80% ni waziri nnje TU ndani ni wajeuri wajuaji full mizinga na ndani gogo, mi UTI, mishombo pa dagaa waliooza na utam wa kukutafuta Kwa tochi yaani bwawa la mtera, wakati Hawa wa sura ya kawaida wakarim, walezi wazuri wa familia, wanyenyekevu wanajua kuvumilia halaf kitandan miuno Hadi unasema bas halaf kitu mnato na no harufu Wala UTI Ingawa sio wote ila wengi wao. Ndio mana tunachepuka na pisi kali na tunaoa wa kawaida Tena flat screen au medium.
Wewe unabambwa na mwanamke gani?Pisi kali yako inaweza isiwe pisi kali kwangu. Kuna mwanamke rafiki yangu akimuona anahaha balaa. Anampatia hata laki akitaka anapokuwa na shida. Ila mimi yule binti nikiwa nae namuona wa kawaida sana si kwamba si mzuri ila hana features za mwanamke anayenibamba mimi.