Mapenzi akili mkuuMapenzi hisia
Hasa wale wenye mikucha kama jini kabulaHizi pisi kali si ndio mnasema wanatoa harufu kama choo cha stendi kule kunako
Exactly ,inategemea na mtu anavyoona tofauti na mwingine anavyoonaPisi kali yako inaweza isiwe pisi kali kwangu. Kuna mwanamke rafiki yangu akimuona anahaha balaa. Anampatia hata laki akitaka anapokuwa na shida. Ila mimi yule binti nikiwa nae namuona wa kawaida sana si kwamba si mzuri ila hana features za mwanamke anayenibamba mimi.
Sasa hii ni Refractive index mkuu😅😅Eti mtoa mada hutaki mwanamke kama huyu??View attachment 2390065
Kumbe makahaba na wanawake wahuni wahuni ndio pisi kali aiseeEti mtoa mada hutaki mwanamke kama huyu??View attachment 2390065
Wengi wange fall uyo wa kulia .kwann ? Matamanio ila kwa vigezo sio pisi Wala labda tuone wakuu Wana mtazamo ganiKama ni wewe utafata yupi kati ya hawa?
Labd tuanze kuwagawa warembo,pisi kali ,wife materials ,wadangaji,tunaweza pata jibu kamiliPisi kali n rahs kigongewa
Mwanamke akiwa na sura nzuri na anavaa vizuri kwako ni kahaba na mhuni sio?Kumbe makahaba na wanawake wahuni wahuni ndio pisi kali aisee
Dah mkuu hao ni wa kukaa nao mbali sanaPisi Kali nyingi Zina gonorrhea iliyopoa, gusa uone sasa
Sijapenda kwakweli,utatumaje picha ya mtu ninaemfaham!Kama ni wewe utafata yupi kati ya hawa?
Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kumiliki pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
Tulia.Hebu jiulize,pisi kali kwa akili yako ikoje?Vile utakavyompenda ndiyo atakuwa pisi kali wako.Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kumiliki pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
Na wanaogombania mwanamke mmoja kisa pisi kali ,Ina maan hawawaoni wengine ama?Tulia.Hebu jiulize,pisi kali kwa akili yako ikoje?Vile utakavyompenda ndiyo atakuwa pisi kali wako.