Wanawake punguzeni kuomba omba hela

WANAWAKE WA KICHAGA RAHASANAAAAAAA HAWANA MBOMBOOO WEE.MPEE HAKIYAKE TU KITANDANI MNGINE MWACHIE YEEYE SWABAHANA WAPE HERI WATOTO WA KICHAGA WALEE VYEMA WAUME ZAOO
Wachaga ninawajua mimi au kuna wengine aisee
 
Wanawake wa skuizi ni makahaba wapo kwaajili ya pesa, yani toa pesa nikupe mzigo. Wote ni wauza k, wamebakiza tuu kusimama barabarani usiku na kuuza k live kama baadhi ya wenzao wanavofanya.
 
Demu wa chuo nilikutana nae ndani ya mwezi mmoja kashanipa mizinga kama ya laki 3 nikasema hili bomu tayari lakini wenyewe wanasema hyo njia wanatumia kuwapunguza na kuwafukuza wanaume wasio wataka
 
WANAWAKE WA KICHAGA RAHASANAAAAAAA HAWANA MBOMBOOO WEE.MPEE HAKIYAKE TU KITANDANI MNGINE MWACHIE YEEYE SWABAHANA WAPE HERI WATOTO WA KICHAGA WALEE VYEMA WAUME ZAOO
Kwa kuua wanaume hao Bora hata hao wanaomba hela kuliko hawa wachaga labda nisijue kama mchaga nakimbia sigeuki nyuma
 
Sema hawako straight. Mtu anaomba 1000/= kumbe anamaanisha laki.

Anaomba ya vocha, ukimuuliza ya shingapi? anasema yoyote utakayoona. Sasa mimi nitajuaje matumizi yake binafsi kama sio kuchoshana kichwa. Kumbe anamaanisha hela ya kuspend.

Kiukweli, mimi ukiniomba ya vocha, nitakwangua vocha nikutumie! πŸ˜…

Ukiniomba buku, nakupa jero halafu jero baadaye! πŸ™ŒπŸΎ

Tusichoshane vichwa! 😁
 
Noblewoman hatutaki hela zenu, hizo zikawasaidie mama zenu wazazi na ndugu zenu. Maana wanaume wengi mnashindwa kusaidia wazazi wenu sababu ya kujionyesha ufahari kwa wanawake. Hela hamna kazi kujitutumua tu huku mnaumia
ilo nalo neno
 
Kuna kengine haka
 
Na wewe muombe tiGo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…