Sasa punguza hasira ndugu kama hauna mpango wakumpa hela mwanamke basi acha umalaya wakuchukua namba za wanawake ambao haujawaoa maana ndio unakuja kuanzisha nyuzi wanapenda hela.
Acha umalaya sasa ili usiwe unalialia wanawake whatsapp sijui meseji za hela tu
katulie na mke wako nyumbani full stop
starehe garama
Ko unataka umtom*e mtoto wa watu burebure umesikia mitungi ya gesi inayogawishwa na waziri burebure πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23] kwa hiyo unataka kusema dada zetu wanauza siku hizi?
 
[emoji23][emoji23] kwa hiyo unataka kusema dada zetu wanauza siku hizi?
Sio wanauza mbona unataka ujifananishe na mwanamke wakati wewe mwanaume?
kama unaona wanafaidi sana nawewe anza kupokea tu hakuna shida

na unaposema wnajiuza kwani umesikia wao nikanisa kila muumini anaruhusiwa kuingia bure?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahhh hiyo ndiyo sababu inayopelekea nisitongoze kabisa bora nivumilie kuwa single kuliko kusumbuliwa sumbuliwa kila saa hawa viumbe MUNGU anawaona sikuizi wamegeuza miili yao kama sehemu ya kipato inasikitisha sana.
wanafanya mahusiano sehemu ya kuvunia pesa halafu hakuna mapenzi..
Hahhh hiyo ndiyo sababu inayopelekea nisitongoze kabisa bora nivumilie kuwa single kuliko kusumbuliwa sumbuliwa kila saa hawa viumbe MUNGU anawaona sikuizi wamegeuza miili yao kama sehemu ya kipato inasikitisha sana.
 
Hatukatai kuombwa hela ila kuna kipimo, maana haiwezekani umpe hela umpe hela weee ushindwe na wewe kujihudumia kisa tu nyapu
 
Suzy sio kwamba hatutaki kutoa hela, hela tunatoa ila sio kila saa kila siku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…