KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Sasa punguza hasira ndugu kama hauna mpango wakumpa hela mwanamke basi acha umalaya wakuchukua namba za wanawake ambao haujawaoa maana ndio unakuja kuanzisha nyuzi wanapenda hela.unakosea sana tofautisha mwanamke na Mke..
[emoji735]MWANAMKE hapaswi kuhudumiwa maana anajihudumia mwenyewe kwa mikono yakr na akili yake ndo maana Malaya wengi ni wanawake.
[emoji736]MKE ndo mwanamke unayepaswa kumuhudumia kwa hali na mali usiku na mchana
sasa wewe unahudumia mwanamke ujamuoa[emoji23][emoji23] anakucha anaenda kuhudumiwa milele wewe unabaki unasema bado bado kwanza kuoa[emoji23]
hizo nguvu za kumuhudumia mwanamke zitunze uje umuhudumie MKE wako na sio Mwanamke ambaye sio mali yako
Acha umalaya sasa ili usiwe unalialia wanawake whatsapp sijui meseji za hela tu
katulie na mke wako nyumbani full stop
starehe garama
Ko unataka umtom*e mtoto wa watu burebure umesikia mitungi ya gesi inayogawishwa na waziri burebure 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂