Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Umekariri eeh

Uwe unapendwa uwe hupendwii hela zitaombwa tu … hayo ulioongea ni kwa wanawake waoga tu ila tuliobaki tunaombaga hela [emoji81][emoji81]
sio kwamba nimekariri, mi mwenyewe naombwa hela na ninatoa vizuri tu, tena muda mwingine bila kuuliza au niaje... wanaonikera ni wale wa leo,kesho, keshokutwa,mtondogoo na kuendelea wao kila siku hela tu hela tu
 
Sio wanauza mbona unataka ujifananishe na mwanamke wakati wewe mwanaume?
kama unaona wanafaidi sana nawewe anza kupokea tu hakuna shida

na unaposema wnajiuza kwani umesikia wao nikanisa kila muumini anaruhusiwa kuingia bure?

sasa kama kitu kinahitaji pesa maana yake si kinauzwa au ww mwenzangu kitu kinacho hitaji pesa unakiitaje?
 
Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
ndio mtafute hela sasa ili mtugaie
 
Jinsia ni mbili tu dunian Mwanaume na mwanamke sasa usipotoa pesa nan atawapa pesa toa pesa kwa afya ya moyo

toa pesa kwa mke wako bila hivyo utatoa pesa kwa kila mwanamke... pesa ndo inaleta maendeleo.. K ipi tu haina maendeleo zaidi ya magonjwa ambayo yanamaliza pesa zako hospital
 
mfano huyu yaani Elfu 5 tu inamshinda dah Wanawake aisee Keroo sana... kwa usawa huu unaomba Elfu[emoji23] dah njaa sana
IMG_1332.jpg
 
Back
Top Bottom