Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
weka yako mkuuHuna hoja tuliza ki...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka yako mkuuHuna hoja tuliza ki...
Sina pia ndio maana nimetulizanaweka yako mkuu
inashangaza sana, kila siku umekuwa tegemezi wewe.... sidhani kama kutakuwa napenzi la kweliAkikuomba kesho kakustili Leo jioni Sina vocha au na njaa
sawaSina pia ndio maana nimetulizana
sio kwamba nimekariri, mi mwenyewe naombwa hela na ninatoa vizuri tu, tena muda mwingine bila kuuliza au niaje... wanaonikera ni wale wa leo,kesho, keshokutwa,mtondogoo na kuendelea wao kila siku hela tu hela tuUmekariri eeh
Uwe unapendwa uwe hupendwii hela zitaombwa tu … hayo ulioongea ni kwa wanawake waoga tu ila tuliobaki tunaombaga hela [emoji81][emoji81]
NJOO CHUKUANaomba liten hapo mkuu
KUMBE SIKU HIZI HAWAPO MKUU, WATU MNA SIRIAkiyekwambia kuna mwanamke ana mapenzi ya kweli nani?
Ohoooo hii umepiga kwenyewe, wanashindwa kujiongezahatari wanawake siku hizi wamekuwa omba omba wananitia hasira sana yaan mwanamke ukumuondoa K walai hana cha kujivunia maishani mwake
waelezee unavyowajua wanawake mkuuuwajui wanawake wewe
Hawa hawa wapenzi wetuHivi Hao wanawaomba kilasiku huwa ni wapenziwenu marafiki au mnamahusiano gani??
Sio wanauza mbona unataka ujifananishe na mwanamke wakati wewe mwanaume?
kama unaona wanafaidi sana nawewe anza kupokea tu hakuna shida
na unaposema wnajiuza kwani umesikia wao nikanisa kila muumini anaruhusiwa kuingia bure?
ndio mtafute hela sasa ili mtugaieUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Jinsia ni mbili tu dunian Mwanaume na mwanamke sasa usipotoa pesa nan atawapa pesa toa pesa kwa afya ya moyo
nina hakika ulitaka kusema kuombwa pesatumechoka kuomba pesa