Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...

mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.
1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.
2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.

Umekariri eeh

Uwe unapendwa uwe hupendwii hela zitaombwa tu … hayo ulioongea ni kwa wanawake waoga tu ila tuliobaki tunaombaga hela [emoji81][emoji81]
 
Kuna baadhi ya wanaume mnawadhalilisha sana wanaume wenzenu ambao wanajielewa mtu kuomba umsaidie sijui kama anamaanisha amekuwa omba omba na wakati tunanduguzetu wengi wa kiume tunawapiga tafu sana tu

Kama huna hela tafuta hela na utapata tu Mungu atakusaidia ila mnatubully sana aisee vitu vingine ni vidogo mno na vya kawaida kabisa
 
Kuna baadhi ya wanaume mnawadhalilisha sana wanaume wenzenu ambao wanajielewa mtu kuomba umsaidie sijui km anamaanisha amekuwa omba omba na wakat tunanduguzetu wengi wa kiume tunawapiga tafu sana tu

Kma hunaela tafuta ela na utapata tu Mungu atakusaidia ila mnatubully sana aisee vitu vingine ni vidogo mno na vya kawaida kabisa

Unamaana wanaume tuige akili za vunjabei
 
Soma
 
Back
Top Bottom