wewe ni KE au ME
 
Stress za mikopo ya vikoba vinafanya wanawake waliwe hovyo sana hasa wake za watu,

Mwanamke anashawishiwa na wanawake wenzie akope hata mume wake hajui maskini,anachukua 300k ananunua vijora nk akirudisha laki hiyo laki 2 stress znaanza,baba hajui ndugu hawajui unategemea nn?ndo wanafatwa vijana na sisi vijana hatuna dogo akiomba 20k unaipiga picha ikiwa kitandan unamtumia wsp status unamwambia njoo chap ila usivae surual ya kubana,yeye kashaelewa kiutu uzima,akileta maneno mengi unamwambia ok ukiweza kuja njoo home si unapajua,,unatulia atahangaika weeee akikosa atakuja
 

umeongea point sana Mkuu
 

dah unanifikilisha sana Pale mke wangu atakapo Anza kucheza vikoba
 
Hahahaha hakuna hajaa ya kupanic mkuu pole sana. Kwahyo wewe ukiwa kwa relationship hiwez msaidia mwanamke wako kwa lolote kuhusu pesa kisa tu anakupa k na stareh ni kwa wote so ajitegemee.

nimuhudumie nini? nitunahudumiana
 
Alafu tukiwaomba mtaro wanakasirika🤣🤣🤣🤣
 
Hela zenyewe hamna na bado mnatusimanga
Kama hupewa wewe unadhani na wote hivyo hivyo wananyimwa?
Ninyi mliyekuwanazo mbona mnaomba? Unadhihaki huku unatamani. Acha dharau. Wapo wanaoomba na wafanikiwa kupewa na hao unaowadharau kuwa hawana pesa.
 
Waombe pesa ila wawe na tako nasisitiza hana tako na tumbo la mazoezi ukitoa pesa utakuwa umelogwa mkuu, wanawake wasio na tako akiomba pesa piga Kwa kukopa then tembea usilipe
Kwa hiyo wanaotoaga hela kwa tusio na chura wamerogwa [emoji23][emoji23] heheee
 
Siku wanawake wakiacha kuomba omba hella mapenzi ya dhati yatarudi..
Hili tatizo ni sugu kama rushwa nchini..
Na wanaohonga ndio wanazidi kuongeza tatizo..
Na kuna watu wanahonga mazee askwambie mtu.
 
Wanaume kuwapa pesa wanawake haikuwa shida tangu zamani, ilikuwa ni kawaida.

Shida imeanza wanapodhani pesa ni haki yao, wanawake wameacha kuwa na aibu,

Mademu hawaogopi kuomba pesa tena na pia mademu wanafikiri wanaume wanaowapa pesa sana ni wajinga.

So sad!!.
 
Niseme tu wanawake wanapenda kututesa sana sisi ila kwa kuwa tunawapenda hatuna budi kukomaa pale ambapo moyo wako unapata furaha
 
Tumeumbiwa kuwatunza! Tuwape watakavyo nasi watatupatia tutakavyo
 
Inashangaza sana kuona vibaka wanachomwa moto mtaani huku kausha damu wanaachiwa tu wakati demage inayosababishwa na kausha damu kwenye jamii ni kubwa kuliko ya hawa vibaka. Kwa sasa ni ngumu sana kuanzisha mahusiano ya maana kwa sababu wanawake wamekua kausha damu wanachokitafuta kwenye mahusiano ni kupewa hela tu.

Kausha damu ni kero kwenye jamii. Wanawake mmekua ombaomba na matapeli. Mnajidhalilisha na kujishusha utu wenu kwa ajiri ya vitu vidogo sana. Hivi ukiwa na appointment ya kukutana na mpenzi wako kweli hata hela ya bodaboda itakushinda, kiasi kwamba unataka na hiyo atoe mwanaume?

Ishini life style mnayoimudu kulingana na vipato vyenu. Hauna kazi wala biashara iliyosimama baki nyumbani kwa wazazi wako subiri kuolewa sio unapanga chumba halafu unategemea hela ya kodi, luku, gesi ipatikane kwa kudanga. Nawaambieni ukweli nyie kausha damu hakuna ombaomba anaeheshimika.

Kausha damu wamehalalisha udangaji na ukahaba kwa kigezo kwamba mwanaume ana jukumu la kumhudumia mwanamke. Sikatai mwanaume kumhudumia mwanamke lakini kuna namna ambayo itamlazimu mwanaume akuhudumie. Kwanza uwe mke wake mnaishi pamoja, pili usiwe na shughuli ya kukupa kipato la sivyo unatakiwa kujihudumia mwenyewe kama hauna kazi basi jukumu la kukuhudia ni la wazazi wako.

Na nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu. Mwaka 2024 badilikeni mnatuabisha sana, wanaume wote tunaonekana idiots and pussy driven kwa sababu yenu.

Kausha damu wote nawapeni makavu live, sex ni mutualy pleasure sio biashara. Mkitumia kigezo cha kugawa mbususu kama justification ya kupewa hela au matunzo kutoka kwa mwanaume ambae sio mmeo basi nyie ni makahaba tu.
 
Mwanamke ndoto yao kubwa ni kuolewa na kujenga familia

Wanaume wengi sisi ni waongo na hatuna mpngo wa kuoa , sasa wanawake na wao wameamua wasikose vyote, pesa ama ndoa.

Wanachofanya ni sawa kabisa na sisi ndio tumetaka iwe hivyo ,cha muhimu apo tafuta pesa ,malalamiko hayatasaidia tena .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…