msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
- Thread starter
- #541
Ni tabia mbovu sana, na ikiendelea hivi itafikisha wanawake pabaya. Mtu anataka asuke nywele za elfu 30 ilihali hana uwezo, amiliki simu ya 500k hana uwezo etc. Live within your limit. Mimi siwezi omba hela hovyo, natumia kutokana na kipato changu na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Kutunza mwili wako mwenyewe unasubiria hela ya kupewa loh, kama huna tulia.
wewe ni KE au ME