Umekariri eeh

Uwe unapendwa uwe hupendwii hela zitaombwa tu … hayo ulioongea ni kwa wanawake waoga tu ila tuliobaki tunaombaga hela [emoji81][emoji81]
 
Kuna baadhi ya wanaume mnawadhalilisha sana wanaume wenzenu ambao wanajielewa mtu kuomba umsaidie sijui kama anamaanisha amekuwa omba omba na wakati tunanduguzetu wengi wa kiume tunawapiga tafu sana tu

Kama huna hela tafuta hela na utapata tu Mungu atakusaidia ila mnatubully sana aisee vitu vingine ni vidogo mno na vya kawaida kabisa
 

Unamaana wanaume tuige akili za vunjabei
 
Soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…