Basi tunatofautiana mimi siamini katika unice guy, demokrasia wala ideology yoyote inayompa mjinga uhuru wa kufanya maamuzi. Mwenye nguvu na akili zaidi ndie anatakiwa kum-control ambae ni dhaifu na mpumbavu iwe kwa hiyari au kwa kumlazimisha.
 
Basi tunatofautiana mimi siamini katika unice guy, demokrasia wala ideology yoyote inayompa mjinga uhuru wa kufanya maamuzi. Mwenye nguvu na akili zaidi ndie anatakiwa kum-control ambae ni dhaifu na mpumbavu iwe kwa hiyari au kwa kumlazimisha.
Ndo maana umekwama Katika mambo yako mengi huwezi kufanikiwa MAISHA na kuwa decent future if you bealive to treat people as monster.


Embrace Gold rule - treat people as you wish to be treated .

Itakuchukua miaka mingi kusimama , katika economically, mentally, spiritual, and to having strong or matured relationship towards other.
 
Ipo kausha damu, vipo vikoba, ipo mchezo, ipo kununuliana vyomba, upo ujirani mwema.

Mamndenyi bado hujasema.
A.k.a Marejesho.Jamaa yangu anakausha damu yake ukishindwa kulipa unapelekwa shambani unakatiwa kipande chenye thamani ya ela iliyobaki au uliyokopa.Wamama wamejaa Shambani utafikiri wako Manamba.Ila cha Kushangaza Kuna wake za watu ambao wamekopa ila waume zao hawajui.
 
Unatoaje makavu & tag pasi na supporting document?

Hujawahi kuwa my BF, haitokuja tokea.. uhalali wa kunimention kwenye hoja yako umepata wapi?

Nb: mambo kwa ground hayako hivyo unavyofosi yawe.
 
Maisha hayana kanuni inayofanya kazi kwa kila mtu na kila sehemu ni suala la kuangalia wapi ufanye nini. Roho mbaya imewaumiza wengi na kuwanufaisha wengi ivyo ivyo roho nzuri imewaumiza wengi na kuwanufaisha wengi. Kausha damu amekuja kwa lengo la kunipiga kwa nini nimuonee huruma? Iyo cycle ya kuwaonea huruma itaendelea mpaka utakapoingia kwenye mfumo wa mmoja wapo ila yule wa kwanza kujileta ukimpiga tukio wengine hawatakuletea ujinga.
 
Unampaje 2nd chance mtu ambaye ameamua ku fuckk up maisha ya wengine for a living. Thats stupid as fuuck
 
Mhm....hapana bwana wanaume tuna mpango wa kuoa tena kuoa wake wengi ndio mpango mzima. Sie tumebarikiwa roho ya upendo na huruma. Hao wanawake wao mission yao ni kupata pesa waondokane na sie wanaume....yaani bahati tuu ninkwamba the world is run by men lah sivyo hawa wange tufyekelea mbali
 
Extrovert njoo huku, maboya wanazidi kupungua, mwishowe watapotea kabisa
 
Kwel huu mwaka mpya😁😁
 
Maisha yana mambo mengi Sana usihukumu , shit happens , peoples earn dirt money for killing innocent people and finally they end up being broke and hopeless . with mob justice.


To be smarter and knowledgeable its just a journey and not everyone can reach at this stage.

Tupo zama za kondoo, all we need is to pray for serenity in our heart and mind.


Before Mob justice give them a second chance
 
Mtu amemtia kisu ndugu yangu nimpe 2nd chance. Hell no brother Mungu atanisamehe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…