Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
"Na nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu"

Sahihi kabisa na hum wapo wengi Sana wa Aina hio tena wachafu balaa
 
Mwanamke ndoto yao kubwa ni kuolewa na kujenga familia

Wanaume wengi sisi ni waongo na hatuna mpngo wa kuoa , sasa wanawake na wao wameamua wasikose vyote, pesa ama ndoa.

Wanachofanya ni sawa kabisa na sisi ndio tumetaka iwe hivyo ,cha muhimu apo tafuta pesa ,malalamiko hayatasaidia tena .
Umepuyanga
 
Unapokuwa unapambana na tatizo lazima ujikite kuangalia njia bora ambazo hautoumiza watu na wewe hautojiumiza.

MTU kuwa msomi na akawa kibaka hiyo 'Ari' inaweza kusababishwa na mambo mengi Sana ikiwemo kukosa insight, personal growth, deep thinking, addiction , stress &depression hivyo huyo ni mwathirika a victim anabidi kupewa second chance to restore his or her mind.


As well MTU kuwa ,mdangaji ,Malaya , kausha damu n.k moja kwa moja huyo ni victim Mwathirika anabidi kupewa more second chance.



Watu wamekwama mkuu kuanzia mentally , spiritual, financially , they are no longer thinking effectively hivyo kuendelea kulaumu na kuwaita majina mabaya unabidi kujua unakosea Sana. tena Sana.


Ebu jiulize swali hao wadangaji wapi huwa wanawekeza their money baada ya kuhongwa ? Means they earn a lot of money but they end up being broke and depressed year to year .

Also njoo kwa vibaka where they spend their money after does damn ? Means wanatumia the all money they earn kununua Malaya , pombe , Kubeti, and other shit.

So the solution to deals with these such kind of people is to unlock their mind first. And give them second chance before the mob justice (killing) to take place.

We need to be creatures of logic and not Emotions
Akili ikizidi Sana ni ujinga Tu.

Hiko kimombo unaona umetema madini enh?

Any way umesema kweli
 
"Na nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu"

Sahihi kabisa na hum wapo wengi Sana wa Aina hio tena wachafu balaa
Majinga sana haya
 
Malalamiko ya hivi huwezi kuyapata kwa mwanaume mwenye pesa.

Tutafute hela jamani tuache kufokafoka kama umbwa.
 
Malalamiko ya hivi huwezi kuyapata kwa mwanaume mwenye pesa.

Tutafute hela jamani tuache kufokafoka kama umbwa.
Hela tunatafuta, sema unatoa kwa mpalange kwa shilingi ngapi tuongee biashara.
 
A.k.a Marejesho.Jamaa yangu anakausha damu yake ukishindwa kulipa unapelekwa shambani unakatiwa kipande chenye thamani ya ela iliyobaki au uliyokopa.Wamama wamejaa Shambani utafikiri wako Manamba.Ila cha Kushangaza Kuna wake za watu ambao wamekopa ila waume zao hawajui.
Duh uyo jamaa ni mkoloni aisee.wanapalilia/wanalima ?
 
Kama hayo mahusiano ni mutual and fair, kwanini mwisho wa siku wakiachana halafu mwanaume akachelewa kuoa, na mwanamke akachelewa kuolewa anayetukanwa ni mwanamke

Na kwanini kwenye hayo mahusiano ikitokea wamepata mtoto, wakija kuachana anayetukanwa ni mwanamke na kuitwa single mother, ushawahi sikia mwanaume anatukanwa ni single father

Na kwanini kwenye hayo mahusiano ikitokea wameachana, halafu kila mmoja wao akapata mtu mwingine, mwisho wa siku anayetukanwa kuwa anabadilisha wapenzi na kuitwa malaya ni mwanamke

Na kwanini hamtaki haki sawa ikiwa mnalazimisha na wanawake nao watafute pesa kama mnavyotafuta ninyi, kwanini hamtaki haki sawa na kusema kwamba mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa sawa, bado mnataka muwatawale ila hapo hapo mnataka majukumu sawa

Na kama hilo tendo wote mnalifaidi kwa usawa, kwanini wanaume ndio wana uhitaji mkubwa sana wa hilo tendo kuliko wanawake kiasi cha wao kulihangaikia sana kwa kutoa pesa, na je wanawake wakiacha kuwaombaomba pesa ndio mtawaheshimu na kuacha kuwachezea
 
ukweli mchungu ni kwamba, kitu kinaitwa kausha damu au vikoba, vinafanya wake za watu wengi sana wazini. mtaambukizana magonjwa hadi mkome kwasababu ya vikoba na kaushadamu. ukiwa na mke ana tabia hiyo, jifanye mjinga, uliza tu tarehe ya kulipa lini, mpe pesa akalipe basi, kama humpi, anajua yeye atakakozitoa na huwa hawapitishi siku.
 
Wewe ni mmoja kati ya wanaume wajinga niliowasema hapo juu.
Hapa ndipo unapofeli mtu anaandika hoja badala ya kuijibu unakimbilia kutukana comments zako nyingi unaishia kutukana tu sasa nani atazitilia maanani nyuzi zako, utaishia kuambiwa tafuta pesa upunguze makasiriko wanawake wataendelea tu kuhongwa upende usipende haijaanza leo wala haiishi kesho, walikuja wengi kama wewe na nyuzi kama zako mwisho wa siku wakapotea na hiyo lifestyle inaendelea so nigga stay calm and save your energy
 
Zamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
Je hao wanawake waliokuwa waongozwa na upendo walifanyiwa yepi mema in return na wanaume wao, zaidi ya wanaume kuwachezea tu na kisha kuwatukana kwamba wanawake ni viumbe wanaojirahisisha kwa kutoa bure, hivyo wanawake wakaona kwanini wapoteze nguvu kwa viumbe wasio na shukrani wakaamua waanze kutoza hela na matokeo yake ndio haya wanaume kujilizaliza na kujilalamisha kama vivulana
 
Wakishampukutisha mwana pesa yake ya kubet aliyompiga mhindi wanahamia kwa mwingine sasa huo kama sio umalaya ni nini? halafu midomo mirefu eti mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Yaani malaya anataka apewe huduma za hadhi ya mke, this is total bullshit.
Buddah sasa si uachane na hao malaya uoe ili uhudumie mkeo
 
Izo ni fikra zenu msiojiamini na ambao mnaangaika kuficha udhaifu wenu kwa kutumia pesa. Binafsi siongi na mbususu nazichakata kama kawaida. Ni suala la kumuweka wazi mwanamke principles zako kuanzia mwanzo kwaiyo atachagua mwenyewe aishi humo au asepe
Hiyo mijimama iliyotumika na kuchoka nayo ndio mbususu unazojisifia kwamba unachakata, unalalamika wanawake kuhongwa wakati huo wewe mwenyewe ulisema unatembea na mijimama ili ikuhonge sasa hapo tofauti yako na hao wanawake iko wapi au unawaonea wivu tu, wewe mwenyewe mdangaji tu halafu kutwa kuwasema wadangaji wenzio hebu tafuta pesa kijana stress zitakuua
 
Je hao wanawake waliokuwa waongozwa na upendo walifanyiwa yepi mema in return na wanaume wao, zaidi ya wanaume kuwachezea tu na kisha kuwatukana kwamba wanawake ni viumbe wanaojirahisisha kwa kutoa bure, hivyo wanawake wakaona kwanini wapoteze nguvu kwa viumbe wasio na shukrani wakaamua waanze kutoza hela na matokeo yake ndio haya wanaume kujilizaliza na kujilalamisha kama vivulana
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Wakishampukutisha mwana pesa yake ya kubet aliyompiga mhindi wanahamia kwa mwingine sasa huo kama sio umalaya ni nini? halafu midomo mirefu eti mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Yaani malaya anataka apewe huduma za hadhi ya mke, this is total bullshit.
Hivi inakuaje mnakua na mahusiana na hao malaya??🤣
Si utafute mnaeendana mkuu
 
Back
Top Bottom