Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sanaa yani, tena kumuua kabisa ndio uhakika. Jana askari wameua panya road wa vingungutiJe ukimtia kisu na wewe utakuwa umepata tulizo la moyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaa yani, tena kumuua kabisa ndio uhakika. Jana askari wameua panya road wa vingungutiJe ukimtia kisu na wewe utakuwa umepata tulizo la moyo?
AiseeSanaa yani, tena kumuua kabisa ndio uhakika. Jana askari wameua panya road wa vingunguti
sema unahoja maana kma unampango wa kutunza mtaji au una ujenzi sehemu au unataka biashara yako uikuze zaidi wanawake wa kukaaa nao mbali sana sanaaa na huu ndo ukwelhuko kwenye mahusiano sijui hali ipoje, mwendo wa mizinga tu
Ahsante sana Nyeto
🤣🤣🤣Jamaa umemind kinomaKausha damu ni kero mkuu na sasa wameenda mpaka kimataifa kausha damu wapo uko tinder, badoo, tagged na role model wao ndio hamisa mobeto kila siku kubadilisha wanaume very soon tutegemee kusikia Tanzania ni taifa la gold diggers. Ningekua na mamlaka ningeamulu wakusanywe wote watumbukizwe kwenye tanuri la tindikali
Qewe ni mmoja ya wanaume wajinga nilioowangelea hapo juuKuepuka yote hayo tuliza nyege zako nyumban....unataka upewe utelezi bure? Upwiru una gharama zake.
Haiwezekani panya road wanauliwa na inaonekana sawa wakati kausha damu wanadunda tu mtaani.Sanaa yani, tena kumuua kabisa ndio uhakika. Jana askari wameua panya road wa vingunguti
Wanaume wa aina iyo nao pia ni tatizo.Lakini pia root of the problem ni mwanaume...mwanaume kisa ana gari ana vihela bac anaona kutongoza ni kwa vijana maskini anarusha tu vihela Mara laki ya kununua mihogo Mara elfu 50 ya vocha so obviously mademu watanogewa kukausha damu...so Cha muhimu ni wanaume kua na msimamo afu tuone wataenda wapi ila shida ndo hiyo wanaume wengi wavivu kuegage na demu anaona ni kupoteza mda so anatumia tu hela
Kuombaomba na kumbebesha mwanaume mzigo wa kukuhudumia kisa unagawa mbususu huo ni ukahaba sio upendo. Fanya kazi ujihudumie mwenyewe kama hauna kazi muombe hela baba akoPambania mechi zako huko babu wewe,, kama hujawahi kuonja ladha ya upendo wa kweli, pole. Malaika zako wakuonekanie
😂😂anakuwekea mguu bara mguu pwani.
Hii ndio pointi kuliko zoteNa nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu. Mwaka 2024 badilikeni mnatuabisha sana, wanaume wote tunaonekana idiots and pussy driven kwa sababu yenu.
Noma sana!Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
*****...mguu bara mguu pwani....Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
Sasa hawa kausha damu ni makahaba wa kimya kimya. Mwanamke malaya wa kugongwa usiku na kuondoka asubuhi anataka apewe huduma kama za mke.Mimi kuhonga ni moja ya starehe zangu mwanamke akionesha kunipenda namuogopa nakimbia .napenda date malaya walio straight..jaribu nenda wavuvi chagua kali mpaka kwa mpalange unapewa siku hiyo hiyo.na asubuhi unakunywq nae supu unampa hela yake .no stress na mkikutana hadi mnakumbatiana 1 love
Ndo hivyo mkuu so usiblame mademu tuWanaume wa aina iyo nao pia ni tatizo.