Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Kausha damu ni kero mkuu na sasa wameenda mpaka kimataifa kausha damu wapo uko tinder, badoo, tagged na role model wao ndio hamisa mobeto kila siku kubadilisha wanaume very soon tutegemee kusikia Tanzania ni taifa la gold diggers. Ningekua na mamlaka ningeamulu wakusanywe wote watumbukizwe kwenye tanuri la tindikali
🤣🤣🤣Jamaa umemind kinoma
 
Lakini pia root of the problem ni mwanaume...mwanaume kisa ana gari ana vihela bac anaona kutongoza ni kwa vijana maskini anarusha tu vihela Mara laki ya kununua mihogo Mara elfu 50 ya vocha so obviously mademu watanogewa kukausha damu...so Cha muhimu ni wanaume kua na msimamo afu tuone wataenda wapi ila shida ndo hiyo wanaume wengi wavivu kuegage na demu anaona ni kupoteza mda so anatumia tu hela
 
Wanaume wa aina iyo nao pia ni tatizo.
 
Na nyie wanaume wajinga mnaojikuta gentlemen na kuingia gharama kuwafurahisha hawa indirect prostitutes nawaambieni ukweli hawa kausha damu wanawaona mafala tu na wataendelea kuwatumia kwa masilahi yao kwa sababu ya ujinga wenu. Mwaka 2024 badilikeni mnatuabisha sana, wanaume wote tunaonekana idiots and pussy driven kwa sababu yenu.
Hii ndio pointi kuliko zote
 
Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
Noma sana!
 
*****...mguu bara mguu pwani....
 
Mimi kuhonga ni moja ya starehe zangu mwanamke akionesha kunipenda namuogopa nakimbia .napenda date malaya walio straight..jaribu nenda wavuvi chagua kali mpaka kwa mpalange unapewa siku hiyo hiyo.na asubuhi unakunywq nae supu unampa hela yake .no stress na mkikutana hadi mnakumbatiana 1 love
 
Sasa hawa kausha damu ni makahaba wa kimya kimya. Mwanamke malaya wa kugongwa usiku na kuondoka asubuhi anataka apewe huduma kama za mke.
 
majinga sana haya yamekua speed hatari .afu uki kaza lina nuna utazani lime wekeza
 
Mkuu futa kauli,yaani Depal huyu huyu?Walahi nlikuwa nampango wa kupiga chata,Sasa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom