aepushe biashara ya mapenzi sio 🐒Asikubabaishe et usipo mpa hela atakunyima utamu, wao hawana utamu, utamu tunao sisi wapo wanawake wengi wasio omba omba hela, tafuta pole pole achana na kausha damu hela siyo haki yao lazima wawajibike.Kwenye maombi yako usisahau kumuomba Mungu akuepushe na Wanawake kausha Damu. Mizinga Daily kama mko vitani
Bora useme wewe labda wataelewa.Pole sana, ila uzuri wake sio lazima kuwapa!
Basi msilalamikeMawazo ya miaka 1940 una leta sasa 2024.
Cha mwanamke akiliwi, papuchi yako mbona ina liwa kila uchwao ?!
Sometimes you don't need to broadcast your life,You don't need to convince people that you have a happy relationshipAsubuhi yote hii unaamka na kuanza kulia?? Utafika kweli we mji wa Kaanani?
Kila mtu chake kina liwa bwana. Mambo ya ubinafsi pelekea zama za mawe uko 200BCBasi msilalamike
Au hujasoma uzi?
Amekosea aina ya maombi, aombe Mungu ampe mtu sahihiUnamuhusisha Mungu kwenye mambo ambazo hazimuhusu.
Mwanamke sio provider 💯
Hawa aliprovide lunch tu, angalia kilichowakuta Eden. Hamjifunzi kuwa cha mwanamke hakiliwi? Na kama hakiliwi basi tuacheni tuendelee kuwaomba.
Yes brother ilitakiwa hvyoAmekosea aina ya maombi, aombe Mungu ampe mtu sahihi
Asikubabaishe et usipo mpa hela atakunyima utamu, wao hawana utamu, utamu tunao sisi wapo wanawake wengi wasio omba omba hela, tafuta pole pole achana na kausha damu hela siyo haki yao lazima wawajibike.Kwenye maombi yako usisahau kumuomba Mungu akuepushe na Wanawake kausha Damu. Mizinga Daily kama mko vitani
HakikaPole sana, ila uzuri wake sio lazima kuwapa!
Kakupandishia dau nini mkuu.?Asikubabaishe et usipo mpa hela atakunyima utamu, wao hawana utamu, utamu tunao sisi wapo wanawake wengi wasio omba omba hela, tafuta pole pole achana na kausha damu hela siyo haki yao lazima wawajibike.Kwenye maombi yako usisahau kumuomba Mungu akuepushe na Wanawake kausha Damu. Mizinga Daily kama mko vitani
Ana tamaa sana kakaUnaongelea mke au demu?
Kama ni mke, inakuaje hadi anaenda kujiingiza kwenye mikopo kama unampa matunzo na matumizi?
Mkaushie atajiset mwenyeweAna tamaa sana kaka