[emoji1]Sisi maskini ndo tupo, hela hatuna
Mtake, msitake.
Njoo huku rombo uone tulivyo maskiniMkuu ulishahama uchagani?
Naunga mkono hojaMAHUSIANO SIO SEHEMU YA KUINGIZA KIPATO
Kuna wanaume hawajiongezi kabisaa yaani,sijui tatizo Nini!🤔Mwanamke unaempenda usimpoteze kwa ubahili wako.. punguza kukunja mkono
Ila ukiona unaombwa hovyo hupendwi.. na hili tuwafundishe?
Charles Killian nakuonaHii ndio maana ya penzi zito kilo 150
Mpe ela tafadhaliKuna demu wa jf imemfikia hii wiki 2 tu kaniomba mil 5
Tafuteni na nyie mnadhani tunaziokota😂😂😂😂Ongezeni mbinu jamani za kuongeza kipato
Kuna wanaume hawajiongezi kabisaa yaani,sijui tatizo Nini![emoji848]
Kuna demu wa jf imemfikia hii wiki 2 tu kaniomba mil 5
Eeeeh Sasa mwanaume mzima utakosaje Hela?unahama tu mbonaNdo tatizo la ombaomba, mnajua mwanaume huwa hakosi hela. Akiwa Hana unaenda kwa mwingine kuomba
Kwa hiyo wanatembea na kiwanda?Mapenzi/Mahusiano siyo Ajira, Dada zetu tafuteni kazi za kufanya wenzenu wamejiajiri Kimboka, Riverside na viwanda vingine vyote vya Ngono.
Hata hiyo huwezi mpaka uombe kama mlemavu?
Wapuuzi sana halafu bila aibu.!Uchoyo tu wanakua nao. Na siku hizi wanaomba wao pesa kwa wanawake
Eeeeh Sasa mwanaume mzima utakosaje Hela?unahama tu mbona
Kwa nn muombe pesa wakati kiwanda mnacho?Uchoyo tu wanakua nao. Na siku hizi wanaomba wao pesa kwa wanawake
Wasitutanie,watafute Hela😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasitutanie,watafute Hela[emoji16]