Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Binafsi kuna mda pesa yangu ina kua na mambo mengi kiasi kwamba una shindwa kumsaidia omba omba ata kama una tamani kumsaidia, ila tatizo lina kuja pale omba omba anapo hisi kanyimwa yani ana nuna utazani pesa yake [emoji28][emoji28]
Omba omba uhisi kama kupewa pesa ni haki yao na lazima [emoji81]
Omba omba uhisi kama kupewa pesa ni haki yao na lazima [emoji81]