Faida za kulipa kodi:
1. Unakua baba mwenye nyumba
2. Unapunguza gharama ya hotel
3. Unapunguza gharama ya chakula na vinywaji (utakua unapikiwa na vinywaji unaagiza liquor store)
4. Unapunguza gharama ya hela ya nauli/mafuta

Akili kumkichwa
Lipa kodi awe analaza Boda boda wake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tofauti iko kubwa sana, na hapa niseme ndipo wadada mnapo jichanganya na kupoteza potential mans sababu mna wa treat all the same. A man mwenye future na ww aki nusa hizi tabia, wala haagi, anayeyuka
πŸ™„πŸ™„πŸ™„Huyo si mkulima bwana....anachaguaje hivyo jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…