Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Faida za kulipa kodi:
1. Unakua baba mwenye nyumba
2. Unapunguza gharama ya hotel
3. Unapunguza gharama ya chakula na vinywaji (utakua unapikiwa na vinywaji unaagiza liquor store)
4. Unapunguza gharama ya hela ya nauli/mafuta

Akili kumkichwa
Lipa kodi awe analaza Boda boda wake.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom