Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Lipa kodi awe analaza Boda boda wake.Faida za kulipa kodi:
1. Unakua baba mwenye nyumba
2. Unapunguza gharama ya hotel
3. Unapunguza gharama ya chakula na vinywaji (utakua unapikiwa na vinywaji unaagiza liquor store)
4. Unapunguza gharama ya hela ya nauli/mafuta
Akili kumkichwa
😂😂😂