Kuna binti mmoja nilikutana naye way back nilimtongozaga akazingua kipindi hicho yuko chuo sasa hivi amemaliza chuo yeye yupo mtaani mimi nipo kazini maisha yamemtandika kila siku mara naomba unisaidie kumtafutia kazi mara naomba 50K mara 20K n.k sasa nimefikiri kwa kina nataka nigeuze hii kama fursa ya kula tunda kimasihara sasa vipi wadau nitaambulia manyonya au nitakula nyama?
 
Kimbia mbio

Au akiomba hela mwambie aifuate getto, umle ndo umpe hela then achana nae.
 
Unaitaje kula kimasihara wakati umeshalipia huduma? Hiyo tunaita ni prepaid service, Yani unalipia kwanza then ndio unapewa huduma.

Kiserikali serikali ndio wanaita PAYE (Pay As You Earn).
 
Hapo ukimla siyo kimasihara ,japo huyo mtafune mpaka mifupa hakuna kumuacha
 
Wanawake inabidi mjifunze kujihudumia sio kila kitu tuwape pesa sio kila kitu.. mnatupa stress tu na kwa style hivi kupata haki sawa mambo ya 50/50 mtayaskia tu unakuta nikikuita geto unataka pesa ya nguo unataka pesa ya nauli na unataka ukifika geto ule vizuri kwa haraka haraka kidume inanitoka kama 30k uridhike na ukifika geto nikuridhishe kwa nini nisijirdhishe mimi tu na bado ukifika geto mnaondoka na jersey zetu za 25k mnachukulia easy tu... Ndio maana mi nikikuita geto mtoto wa mtu namfulisha nguo na mashuka na nakula mzigo kwa hasira pesa zangu zitumike kihalali
 
Ku
Kupenda kuomba pesa ni tabia mbaya sana....na sio wanawake tu... siku hizi hata wanaume wanaopenda kuomba omba pesa wapo ....ni AIBU!!!
 
Yaaani mi nikishaona mwanamke mpenda helaaaa,huwa nampuuza flani,hata sishughuliki naye!ukuona mwanamke anakufanya ww kitega uchumi chake ujue kabisa hajakupenda,lengo avune pesa apite hivi
 
Sikuhizi mwanamke kama huna hela hata Sisi tunakukwepa
 

Hahahaaaaa....!! Hawataki kuvumilia kama walivyovumilia mama zao!!??

Ndiyo maana siku hizi mke akizingua unafukuza tu kwa sababu amekuta kila kitu, hana alichochangia! Ila kama umekaa na mke mkaanzia chini ushauri wake ukasaidia kutoboa, makosa madogo hayawezi kumuacha mke. Lazima aheshimike kama mke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…