Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Unamuona km ulilala na Mamba Jike limekenulia domo lake likiwa linaota JuaHuwa nikishamaliza najikuta sina cha kuongea naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuona km ulilala na Mamba Jike limekenulia domo lake likiwa linaota JuaHuwa nikishamaliza najikuta sina cha kuongea naye.
Kwanini hukumuuliza anakuuzia wewe na nani ili usijipe mawazo yasiyo na Msingi, wenzio tunalipwa wewe unalipia kuchakata K?Nikitaka K nalipia yeye akitaka MBO_ o Nalipia.
Hahahaa ukisimama nshale ukichuchuma nshaleNikitaka K nalipia yeye akitaka MBO_ o Nalipia.
Kimbia mbioKuna binti mmoja nilikutana naye way back nilimtongozaga akazingua kipindi hicho yuko chuo sasa hivi amemaliza chuo yeye yupo mtaani mimi nipo kazini maisha yamemtandika kila siku mara naomba unisaidie kumtafutia kazi mara naomba 50K mara 20K n.k sasa nimefikiri kwa kina nataka nigeuze hii kama fursa ya kula tunda kimasihara sasa vipi wadau nitaambulia manyonya au nitakula nyama?
Unaitaje kula kimasihara wakati umeshalipia huduma? Hiyo tunaita ni prepaid service, Yani unalipia kwanza then ndio unapewa huduma.Kuna binti mmoja nilikutana naye way back nilimtongozaga akazingua kipindi hicho yuko chuo sasa hivi amemaliza chuo yeye yupo mtaani mimi nipo kazini maisha yamemtandika kila siku mara naomba unisaidie kumtafutia kazi mara naomba 50K mara 20K n.k sasa nimefikiri kwa kina nataka nigeuze hii kama fursa ya kula tunda kimasihara sasa vipi wadau nitaambulia manyonya au nitakula nyama?
Hapo ukimla siyo kimasihara ,japo huyo mtafune mpaka mifupa hakuna kumuachaKuna binti mmoja nilikutana naye way back nilimtongozaga akazingua kipindi hicho yuko chuo sasa hivi amemaliza chuo yeye yupo mtaani mimi nipo kazini maisha yamemtandika kila siku mara naomba unisaidie kumtafutia kazi mara naomba 50K mara 20K n.k sasa nimefikiri kwa kina nataka nigeuze hii kama fursa ya kula tunda kimasihara sasa vipi wadau nitaambulia manyonya au nitakula nyama?
Kupenda kuomba pesa ni tabia mbaya sana....na sio wanawake tu... siku hizi hata wanaume wanaopenda kuomba omba pesa wapo ....ni AIBU!!!Wakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!
Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.
Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?
Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.