Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hakuna popote ambapo haujaeleweka unatafuta tu kisingizio kama vile hatujui akili zenu. Msingi ya point ya uyo jamaa ni kwamba mwanaume anabebeshwa gharama za mahusiano, nina uhakika kama angekubaliana na huo mfumo ungemuunga mkono kwamba mwanaume anatakiwa kuhudumia, kuwajibika n.k lakini kwa sababu hakubaliani na huo mfumo ndio maana na yeye anaamua kulipiza kivingine ndio hapo unaona wanaviziana. Mwanaume akishtukia anatumika kimasilahi akaamua kuji-adjust kitaalamu ndio mnajua mnaviziwa ila nyie mkijiweka kwetu ili tuwapunguzie ukali wa maisha hamfikirii kwamba mnatuvizia.Uwe unasoma kwanza na kuelewa niliemquote kabla hujajibu. Unakurupuka sana ndugu.
Kwa wakina dada pesa ya mwanaume haina thamani. Kuna dada/mama mmoja nimeona anatetea ilo suala uko juu ila sasa muulize yeye ni lini ashawahi kumpa mtu yoyoyte iyo laki 4.Mkuu nimeshangaa sana,laki 4 kwa mwezi mtu anajipamba vinini
Naomba kufahamu jina la hiki kitabu mkuuDepal amadala to yeye Shida sio ninyi kuomba pesa, By nature sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.
Shida kubwa ni kuwa Wanawake wengi tunaowatongoza mnatuomba hela kwa nia ovu ya kutukomoa, na si kwamba mna shida kweli, na sisi wanaume tuna-sense hicho kitu, niliprove hicho kitu kwa kusoma kitabu kimoja kimeandikwa na mdada wa kimarekani Baje Fletcher cha jinsi ya kuwachuna wanaume pesa bila kutoa papuchi, nikasema this is A sick world.
NB:
Mwanaume kukunyima hela haimaanishi he is broke, ingawa wengi wetu tuko broke
Tafuta hela mkuuMwanamke masikini hawezi kukunyanyua ukianguka kiuchumi, na wengi wao mahusiano/mapenzi kwao ni fursa ya kupata material things ambazo wazazi wake hawana uwezo wa kumnunulia.
Mwanamke masikini atachelewesha safari ya mafanikio yako
Epuka mwanamke masikini kwenye maisha yako kwa sababu hawezi kuja na suluhisho la chochote anakuja na matatizo tu. Hachangii chochote anakuja kwa ajiri ya kuchukua tu.
A broke woman is totaly liability in your life.
Hela natafuta kijana, muulize mama ako anamuuzia nani ndogo atakupa habari zanguTafuta hela mkuu
Utombw@ mama anakujane hapa very stupid.fu£/< uHela natafuta kijana, muulize mama ako anamuuzia nani ndogo atakupa habari zangu
Vijana tukiwaambia ukweli hawaelewi, wanatuambia tafuta hela, wanafikiri tunawaonea wivu halafu wakishamaliza hela zote kwa ajiri ya kuwafurahisha wanawake, wanatufata mabroo kuomba hela ya kula, wakati huo mademu waliowahonga washapoteaSio kumuogopa tu bali hakikisha unamuepuka.
Nashukuru sana Mungu kwa kuniletea wee mwanaume kiukweli!
MsiwatongozeUkimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Na bado, mnatutesa sanaUkigeuka huku wanawake Kule wanawake hapa wanawake pale wanawake 🥴
Tupumzisheni basi