Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Uwe unasoma kwanza na kuelewa niliemquote kabla hujajibu. Unakurupuka sana ndugu.
Hakuna popote ambapo haujaeleweka unatafuta tu kisingizio kama vile hatujui akili zenu. Msingi ya point ya uyo jamaa ni kwamba mwanaume anabebeshwa gharama za mahusiano, nina uhakika kama angekubaliana na huo mfumo ungemuunga mkono kwamba mwanaume anatakiwa kuhudumia, kuwajibika n.k lakini kwa sababu hakubaliani na huo mfumo ndio maana na yeye anaamua kulipiza kivingine ndio hapo unaona wanaviziana. Mwanaume akishtukia anatumika kimasilahi akaamua kuji-adjust kitaalamu ndio mnajua mnaviziwa ila nyie mkijiweka kwetu ili tuwapunguzie ukali wa maisha hamfikirii kwamba mnatuvizia.
 
Mkuu nimeshangaa sana,laki 4 kwa mwezi mtu anajipamba vinini
Kwa wakina dada pesa ya mwanaume haina thamani. Kuna dada/mama mmoja nimeona anatetea ilo suala uko juu ila sasa muulize yeye ni lini ashawahi kumpa mtu yoyoyte iyo laki 4.
 
Depal amadala to yeye Shida sio ninyi kuomba pesa, By nature sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.

Shida kubwa ni kuwa Wanawake wengi tunaowatongoza mnatuomba hela kwa nia ovu ya kutukomoa, na si kwamba mna shida kweli, na sisi wanaume tuna-sense hicho kitu, niliprove hicho kitu kwa kusoma kitabu kimoja kimeandikwa na mdada wa kimarekani Baje Fletcher cha jinsi ya kuwachuna wanaume pesa bila kutoa papuchi, nikasema this is A sick world.

NB:
Mwanaume kukunyima hela haimaanishi he is broke, ingawa wengi wetu tuko broke
Naomba kufahamu jina la hiki kitabu mkuu
 
Jamani naombeni laki moja tu
Mwenye kutaka kunipa aje pm
Wanaume mbinguni moja kwa moja
Mwanaume hapa duniani ukitaka kuishi vizuri usiwe mchoyo.utakosa baraka weeee.hakuna dua yenye nguvu kama ya mwanamke.
 
Nilimtongoza dada mmoja hivi mtu wa makongamano sana misa mara tatu kwa week..
Sasa mahali tulikuja shidwana ni kwenye pesa mana alikuwa anapenda sana kuomba hela tena kwa mbinu za kishamba anakwambia tu leo sijiskii powa kabisa yani hata chakula hakipiti ukimuuliza kwann hapo umekula rungu la utosi .
Mara aombe vocha ya 2100 mara sijui nataka nikasuke .
Sasa mimi nikamwambia bhna sina pesa mimi ni masikini wa kuhonga.
Kama kweli unataka pesa itabidi ujitoe sadaka wewe ndo uwe unaniita guest house sio mimi tena akaniambia SHIDWA sijui nina pepo la ngono nikamwambia wewe una pepo la kuomba mpaka leo sijawahi kuona msg wala simu zake..
 
Mwanamke masikini hawezi kukunyanyua ukianguka kiuchumi, na wengi wao mahusiano/mapenzi kwao ni fursa ya kupata material things ambazo wazazi wake hawana uwezo wa kumnunulia.

Mwanamke masikini atachelewesha safari ya mafanikio yako

Epuka mwanamke masikini kwenye maisha yako kwa sababu hawezi kuja na suluhisho la chochote anakuja na matatizo tu. Hachangii chochote anakuja kwa ajiri ya kuchukua tu.

These modern women are not worthy fighting for, don't build your life and happiness around a modern woman.

A broke woman is totaly liability in your life.
 
Mwanamke masikini hawezi kukunyanyua ukianguka kiuchumi, na wengi wao mahusiano/mapenzi kwao ni fursa ya kupata material things ambazo wazazi wake hawana uwezo wa kumnunulia.

Mwanamke masikini atachelewesha safari ya mafanikio yako

Epuka mwanamke masikini kwenye maisha yako kwa sababu hawezi kuja na suluhisho la chochote anakuja na matatizo tu. Hachangii chochote anakuja kwa ajiri ya kuchukua tu.

A broke woman is totaly liability in your life.
Tafuta hela mkuu
 
Sio kumuogopa tu bali hakikisha unamuepuka.
Vijana tukiwaambia ukweli hawaelewi, wanatuambia tafuta hela, wanafikiri tunawaonea wivu halafu wakishamaliza hela zote kwa ajiri ya kuwafurahisha wanawake, wanatufata mabroo kuomba hela ya kula, wakati huo mademu waliowahonga washapotea
 
Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Msiwatongoze
 
Habari za humu ndani, natumai mko poa, sikilizeni wanaume , hii ni kutoka kwa Elon Musk
"Wakati mimi na mpenzi wangu wa zamani, Amber Heard tulipoachana, nilimletea risiti ya kila kitu nilichowahi kumfanyia na alilipa kikamilifu. Ninachukia sana wanawake." __ Elon Musk

“Amber Heard alikuwa anapenda sana kutumia pesa hovyo wakati ananichumbia ilimradi tu pesa ni zangu, alitoa hata pesa kwa hisani ili apate jina zuri, lakini kitu ambacho hakujua ni kwamba mimi ni mfanyabiashara na hata hisia zangu hazichanganyiki na biashara yangu.

Sikuinunua Twitter kwa sababu za kisiasa au kibiashara lakini niliinunua kwasabb ya Amber Heard. Nilitaka kumpa kama zawadi ya Siku ya Wapendanao lakini aliachana nami kabla ya Siku ya Wapendanao alipopata mpenzi mpya kwenye Twitter.

Baada ya kuachana nami, nilitangaza jina hilo kutoka Twitter na kuiita X. Kisha nikampa mpenzi wake Kazi katika kampuni yangu Tesla na mpenzi wake wakaachana naye kwa kuachana na bosi wake kwa sababu yake.

Kisha nikamkabidhi risiti ya kila senti niliyowahi kumpa wakati wa uhusiano wetu na alilipa kila kitu kikamilifu kwa sababu kabla ya uhusiano wetu, nilimtaka asaini hati kwamba atanilipa pesa zangu ikiwa hatutamaliza pamoja. Ninachukia sana wanawake na nadhani ndiyo sababu bado sijaoa." ~ Elon Musk

Ikiwa Elon Musk ambaye ana utajir wa thamani ya zaidi ya $274-bilioni anaweza kuwa mkali kiasi hiki kwa pesa zake,
Basi wewe ni nani wa kutenda tofauti na matajiri ???

#No malice to anybody
 
Back
Top Bottom