Mkuu si nikapata demu mmoja wa kihaya nikajichanganya nikamtoa sehemu tupate lunch Ile tunafika babu Yan tumeagiza msosi kafuta msosi Ata kabla yangu

2.sasa akili ikacheza(asije Ona kama nina hela sana) nikasema nimpeleke ofisini kwny biashara yangu lakini nitamwambia nimeajiriwa hapo basi kwa haraka haraka demu akajua maisha sina🤣 nikawa nimeukwepa Msala
 
Ni kweli wanawake wamekuwa wakiomba hela sana, hata uwe mzee utaombwa hela tu. Kuna mmoja kaniomba hela nikampa kisha na mi nikamuomba penzi akanijibu ni mke wa mtu. Wake za watu nao huomba hela bila aibu, kwani waume zao hawawapi hela?
 
Mkuu nilikua najua wewe ni mlokole lia lia nisamehe kwa hilo bro🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…