Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Kitita cha "Afu tatu" ndugu mjumbe ungetoa tungekuchukulia hatua kinidhamu kumbuka tulisema anatakiwa kupewa 2% kama Mwenyekiti mstaafu AKON alivyotoa nasaha, hata hivyo itabidi iundwe kamati kuchunguza hicho kitika cha Afu tano kilitokaje
Hakika iundwe tume ya uchunguzi haiwezekani atoe aftano yote au labda si mwanachama wa uwabata
 
Hakika iundwe tume ya uchunguzi haiwezekani atoe aftano yote au labda si mwanachama wa uwabata
atakuwa mamluki uchunguzi ufanyike wa kina kabisa, ikijulikana afukuzwe uanachama
 
Wew kama mwanachama wa uwanata, kuanzia sasa umevikwa cheo kipya cha itikadi na uenezi Kanda uliopo.
hapana hapana Kuna aftano imetoka kiholela mpaka achunguzwe kwanza kujua uhalali wake
 
Screenshot_20241114-154836~2.jpg
 
Tatizo Wanawake wengi Mentality yao Mahusiano kaka Ajira, Kila siku kuomba Hela, Kila siku wao wanashida sa mm huwa najiuliza sisi wanaume hatuna shida.
Mwanaume hakuna anachopata kwa mwanamke zaidi ya Ngono. Na ndio maana Baadhi ya wanasayansi wanafanya tafuti Ili Kila mtu akidhi aja zake kivyake maana.
Wanawake Mahusiano kwao nyezo ya kupata pesa kwa Mgongo wa kuhudumiwa.
 
Waendekeze wakufilisi.
 
Sawa mpaka kufikia hatua ya kuitwa mke maana yake kuna hatua mmezipitia
Enzi hizo kabla hajawa mke ulikuwa humpi hebu nijibu acha kuzunguka😂🤣🤣😅
Mimi ni MCHAGA WA PAKISTAN ☺️☺️😊😊😄😅😅😂🤣
 
Back
Top Bottom