Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mwenzetu apukutike 🤠 hawanaga shukrani.Acha ubahili vizur vinagharamiwa mkuu
Hakika iundwe tume ya uchunguzi haiwezekani atoe aftano yote au labda si mwanachama wa uwabataKitita cha "Afu tatu" ndugu mjumbe ungetoa tungekuchukulia hatua kinidhamu kumbuka tulisema anatakiwa kupewa 2% kama Mwenyekiti mstaafu AKON alivyotoa nasaha, hata hivyo itabidi iundwe kamati kuchunguza hicho kitika cha Afu tano kilitokaje
Mkuu kitita kinaanzia zinapoungana noti mbili na kuendeleaWakuu kwani kitita kinaanzia sh ngapi,labda mi sielewi vizuri
Wew umepukutika???Unataka mwenzetu apukutike 🤠 hawanaga shukrani.
atakuwa mamluki uchunguzi ufanyike wa kina kabisa, ikijulikana afukuzwe uanachamaHakika iundwe tume ya uchunguzi haiwezekani atoe aftano yote au labda si mwanachama wa uwabata
hapana hapana Kuna aftano imetoka kiholela mpaka achunguzwe kwanza kujua uhalali wakeWew kama mwanachama wa uwanata, kuanzia sasa umevikwa cheo kipya cha itikadi na uenezi Kanda uliopo.
😄😄😄 Mkuu uchunguzi ufanyike kwa uharaka sana kabla hajaapishwa🙌hapana hapana Kuna aftano imetoka kiholela mpaka achunguzwe kwanza kujua uhalali wake
tunafanya mawasiliano makao makuu watume kikosi kazi😄😄😄 Mkuu uchunguzi ufanyike kwa uharaka sana kabla hajaapishwa🙌
Kunatofauti ya mke na kimadaWew umepukutika???
mwenza wako humpi za matumizi???
Waendekeze wakufilisi.Tatizo Wanawake wengi Mentality yao Mahusiano kaka Ajira, Kila siku kuomba Hela, Kila siku wao wanashida sa mm huwa najiuliza sisi wanaume hatuna shida.
Mwanaume hakuna anachopata kwa mwanamke zaidi ya Ngono. Na ndio maana Baadhi ya wanasayansi wanafanya tafuti Ili Kila mtu akidhi aja zake kivyake maana.
Wanawake Mahusiano kwao nyezo ya kupata pesa kwa Mgongo wa kuhudumiwa.
Kabisa.kuna Demu kanitumia sms et anaumwa nikamwambia unaumwa Nini et ana njaa ya hela.Mwanaume= ATM kwa demu!
Sawa mpaka kufikia hatua ya kuitwa mke maana yake kuna hatua mmezipitiaKunatofauti ya mke na kimada
Mimi ni MCHAGA WA PAKISTAN ☺️☺️😊😊😄😅😅😂🤣Sawa mpaka kufikia hatua ya kuitwa mke maana yake kuna hatua mmezipitia
Enzi hizo kabla hajawa mke ulikuwa humpi hebu nijibu acha kuzunguka😂🤣🤣😅
🤣🤣🤣🤣 umenishinda tabiaMimi ni MCHAGA WA PAKISTAN ☺️☺️😊😊😄😅😅😂🤣
Upo online nikajua utakua unapika 😄😊☺️🤣🤣🤣🤣 umenishinda tabia
Kupika saa hizi wakati na kuliwa kimeshaliwaUpo online nikajua utakua unapika 😄😊☺️