Katk hali kushangaza jana kuna mtu namtafuta kwa bahat mbaya nakosea namba nikampigia mtu mwingine akapokea pale pale ni kagundua kuwa ninae mtafuta siyo yey basi nikakata simu nikampigia muhusikA nikampata

Usku nilikuta miss call tatu nikakusha sijamrudia asbh ya saa mbili huyu hapa anapiga anataka pesa elf 15 ya kununu lia mafuta khaaa

Na shanga sna mm kukosea namba ndio naombwa hela za mafuta kivip yaani

Bas nikamuahid kutumia baada ya nusu saa ili nimkwepe sass amekuwa kero kila baada ya dkk tano anapiga na kutuma ujumbe, " mbna unitumie"? Niko kwa wakala
 
Eti???
 
Analala kwa wakala?
 
Tuma hela ya mafuta hiyo
 
Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!
Sio kweli. Mwanaume anapenda kutunza pale anapoheshimiwa

Hii 50/50 ya siku hizi siielewi.
 
si vibaya mwanamke kuniomba! nini hicho!? P£$A. ahaaa, lakini namimi nitamt*mba haswaa..
nitageuka kuwa tomb*eli Munuo.
 
Usijali hujapoteza,bali umewekeza nyege nazo hazina adabu na huwezijua zitakusumbua lini!!
 
Kuna mmoja alinitamkia " tatizo lako ukinigonga hunipi pesa" moyoni natabasam tu hihihihiihi
 
Mwanamke wa kibongo, ufahamiane nae kabla 24hrs kufika toma mumefahamiana lazima akuombe pesa, au akupige kizinga Wanawake wanaomba mpaka kero, ndo mana mm mda mwingine naamuaga kua kazu kama Dagaa.
 
Kutokana na changamoto za ajira n.k, mwanaume amekuwa akibebeshwa mzigo mzito wa punda kwa kisingizio cha kudumisha mapenzi.

Je, unapambana vipi na mwanamke anaye omba omba hela kwa kisingizio cha kukupa mapenzi?
  • Yeye kila kitu ni kuomba omba hela;​
  • Ukitaka akufariji, yeye anataka hela​
  • Ukitaka akupe tendo yeye anataka hela​
  • Ukitaka mtoke 'out', yeye anataka hela​
  • Ukitaka m-'chat', yeye anataka hela​
  • Ukitaka akuite kimapenzi, yeye anataka hela​
  • Awe na hisia na wewe, yeye anataka hela kwanza​

Na mtu wa namna hii, unamchukuliaje katika mahusiano yako?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…