Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Haaahaa 😊Kupika saa hizi wakati na kuliwa kimeshaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaa 😊Kupika saa hizi wakati na kuliwa kimeshaliwa
Eti???Katk hali kushangaza jana kuna mtu namtafuta kwa bahat mbaya nakosea namba nikampigia mtu mwingine akapokea pale pale ni kagundua kuwa ninae mtafuta siyo yey basi nikakata simu nikampigia muhusikA nikampata
Usku nilikuta miss call tatu nikakusha sijamrudia asbh ya saa mbili huyu hapa anapiga anataka pesa elf 15 ya kununu lia mafuta khaaa
Na shanga sna mm kukosea namba ndio naombwa hela za mafuta kivip yaani
Bas nikamuahid kutumia baada ya nusu saa ili nimkwepe sass amekuwa kero kila baada ya dkk tano anapiga na kutuma ujumbe, " mbna unitumie"? Niko kwa wakala
Analala kwa wakala?Katk hali kushangaza jana kuna mtu namtafuta kwa bahat mbaya nakosea namba nikampigia mtu mwingine akapokea pale pale ni kagundua kuwa ninae mtafuta siyo yey basi nikakata simu nikampigia muhusikA nikampata
Usku nilikuta miss call tatu nikakusha sijamrudia asbh ya saa mbili huyu hapa anapiga anataka pesa elf 15 ya kununu lia mafuta khaaa
Na shanga sna mm kukosea namba ndio naombwa hela za mafuta kivip yaani
Bas nikamuahid kutumia baada ya nusu saa ili nimkwepe sass amekuwa kero kila baada ya dkk tano anapiga na kutuma ujumbe, " mbna unitumie"? Niko kwa wakala
Ni Kama hadithi ya alfu Lela ulelabila screenshot .
..
Tuma hela ya mafuta hiyoKatk hali kushangaza jana kuna mtu namtafuta kwa bahat mbaya nakosea namba nikampigia mtu mwingine akapokea pale pale ni kagundua kuwa ninae mtafuta siyo yey basi nikakata simu nikampigia muhusikA nikampata
Usku nilikuta miss call tatu nikakusha sijamrudia asbh ya saa mbili huyu hapa anapiga anataka pesa elf 15 ya kununu lia mafuta khaaa
Na shanga sna mm kukosea namba ndio naombwa hela za mafuta kivip yaani
Bas nikamuahid kutumia baada ya nusu saa ili nimkwepe sass amekuwa kero kila baada ya dkk tano anapiga na kutuma ujumbe, " mbna unitumie"? Niko kwa wakala
Sio kweli. Mwanaume anapenda kutunza pale anapoheshimiwaHakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!
Kwendeni huko mmezidi vizingaHela zenyewe hamna na bado mnatusimanga
Usijali hujapoteza,bali umewekeza nyege nazo hazina adabu na huwezijua zitakusumbua lini!!Nimekutana na kikundi cha wanawake saluni ya kike, mmoja akaniita akaniomba hela akale mgahawani, nikampa, ishu ikawa sina hela ndogo ndogo nina elfu kumi kumi tu. Mmoja kuona ile noti akataka na yeye apate. Nikaona isiwe nongwa nikaacha hiyo noti wagawane wote watano iwe furaha yao na mimi nikaondoka hapo sina raha kwa kutoa zaidi bila kupanga
akikuomba ,give her money,akiomba tens ,give her more moneyMimi Sina Tatizo na Mwanamke Anaye Omba Hela, Ila Nina Tatizo na Mwanamke Anaye Penda Kuomba Omba Hela Kila Siku.
Okauak
akikuomba ,give her money,akiomba tens ,give her more money