Na ndo safari imeanza hivo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hadi Mwaka uishe Nataka niwe na Mkwanja wa kutosha.
Safi kabisa maana sisi vidume 2025 hatudate broke ladies.
Demu lazi.a aweze kujipeleka sauz kwa hela yake ndio tunadate nae
 
Ukiwa bwege mtozeni utapelekeshwa sana tu, kwani huyo ombaomba ukimpiga chini unakosa kitu gani. Vijana wa siku hizi mnasikitisha sana, ukiwa desperate kana kwamba oxygen unayopumua huyo ombaomba ndiyo anaimiliki utapelekeshwa nginjanginja hadi utajuta.
 
Kuna wanawake ni omba omba sana kama taifa fulani hivi ad trump kalishtukia.

Ombeni kwa kiasi sio kila saa kama mnafanya kazi za malipo ya saa.
 
Fanya vetting kabla ya kumtongoza demu. Hakikisha unatengeneza circle na mademu wenye kazi na sio watu wa extravaganda lifestyle.

Hata kwa hawa wenye kazi hela inaweza kukutoka lakini sio kama ukiwa na circle ya mademu masikini.
 
Vijana tuepuke ku-date na mademu masikini. Simaanishi awe tajiri lakini angalao aweze kujimudu yeye mwenyewe kwa mahitaji yake ya msingi.

Uchumi wa sasa sio rafiki vile vile hakuna guaranteed return ya uwekezaji wako kwenye mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…