Ameelewa ila analeta tu ubishi.Imebidi nimpe hitimisho
Aisee 🤣 🤣 🤣 🤣Huu ujinga ninao na lolote hunifanyi na hunibadilishi!!!
Nakwambia hivi popote unapotoa hoja
kwa kuni quote
"koma tena koma kutaja jina la mama yangu koma kama ulivyokoma ukatoka ukashindwa kurudi mama yako. narudia tena koma.
nikikaa nikatulia nitarudi tena
Yeye alikuwa anakujibu kwa lugha nzuri tu ya kawaida. Ila wewe ukamjia na lugha mbovu.Mbona dada yako kaandika alafu kafuta comment😂😂😂 anatia huruma sana
Wewe leo dada ukianzislsha kitu kubali kubeba msalaba sio kutia huruma.
Ni yeye tu angalia kama nimetumia lugha mbovu hata moja...Yeye alikuwa anakujibu kwa lugha nzuri tu ya kawaida. Ila wewe ukamjia na lugha mbovu.
SawaNi yeye tu angalia kama nimetumia lugha mbovu hata moja...
Nilicho fanya ni kumwonesha uongo na upotoshaji alio kuwa anatoa in the name of kutumia wanaume. Hakuna mahala Nimetukana wala kutumia lugha mbovu. Kama ipo ni quote tuone.
From no WhereKuna mwingine kaamka zake huko alipokojolewa anataka Laki
Ndio fikra za Leo DadaNa ni wajinga mno ,wanafikiri sisi ambao hatujipendekezi kutoa pesa tunapata pisi mbovu
Dada nani sasa?Ndio fikra za Leo Dada
Hebu rudisha hicho nilichofuta.Mbona dada yako kaandika alafu kafuta comment😂😂😂 anatia huruma sana
Wewe leo dada ukianzislsha kitu kubali kubeba msalaba sio kutia huruma.
Sasa mbona unatoka kwenye mada inakwenda kwenye michambo dada angu?Hebu rudisha hicho nilichofuta.
Mimi nitie huruma kwako wewe??? hata nikihitaji kuonewa huruma humu jf namfata muhusika moja kwa moja na ninaonewa huruma.
Nilie huruma kwa mamluki mwenye I'd za kujitukana , kujitongoza na kujisifia.jiangalie
Hahahaha aisee, pole sana kwa kadhia iliyo kukumba. I was just saying da truth even if it hurts. 😎Ukija kwangu kwa uhalisia huna hadhi hata ya kukanyaga bustani yangu....
Usijichekeshe keshe kwangu peleka nyege zako nyuma.