Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Maelezo yako nimeishia tu hapo kujitapa............
Mimi si bingwa wa maelezo mistari mirefu!!! hiyo haibadilishi ukweli wa kwamba kila mmoja abebe mwanamke wa level yake.

Mimi ukiniita majina au kutoa lugha chafu kupitia fake ID hainiumizi.

Hakikisha unabeba omba omba unaeendana nae na kum mudu mdogo wangu
😀😀😀😀
Hili jibu limenifurahisha!
 
Basi ugulia maumivu kwa Kujificha maana humu sio sehemu salama. Humu kuna watu wenye utambuzi na kufilter ujinga kwenye ukweli.

Binafsi siwezi, najua mwanamke anayejitambua hawezi kuwa omba omba. Hawezi kutanguliza ninacho mmiliki pasipo kujua nakitoa wapi na ninakitumiaje. Hata kama ninabeba magunia ya mkaa hawezi nijudge maana anajua napambana. Sio wewe kukaa unatafuta kulishwa kama mlemavu.
 
Kwa nini uombe pesa ?wewe ni mkoma? Hauna mikono ya kuchapa kazi ? Au hauna akili timamu?( tahira)

Yani mimi nikeshe usiku kucha halafu kuna bichwa komwe anamwambia rafiki yake eti shoo nina danga langu , kmmke labda sio mimi
 
Huo ni uamuzi wake na atachagua yeye kitu ambacho mimi hakinihusu.
Wewe nilisha kwambia hivi huu ujinga ulionao kichwani wa kudhani na kufikiri hii mentality mlokaririshwa na wajinga wenzenu mkidhani ndo misingi ya maisha... Waliwafanya mkawa vidampa iishie hukohuko mnakokuja nyie..

Hii mentality kutaka kwa wanawake wakubwa kama nyie ndo inaashiria uozo mbaya katika jamii.

Unafikiri mama yako angekuwa mshenzi wa kufuata pesa angepitiwa na wanaume wangapi?
 
Kwa nini uombe pesa ?wewe ni mkoma? Hauna mikono ya kuchapa kazi ? Au hauna akili timamu?( tahira)

Yani mimi nikeshe usiku kucha halafu kuna bichwa komwe anamwambia rafiki yake eti shoo nina danga langu , kmmke labda sio mimi
Yaani mkuu hawa ukikaa kizembe anakuona fala, kuna vidume vijinga humu vina sapoti eti ukitaka k lazima ulipie, mwanamke Matunzo... Kwahiyo wanawake ni dhahabu?😂
 
Na ni wajinga mno ,wanafikiri sisi ambao hatujipendekezi kutoa pesa tunapata pisi mbovu
Mwanamke humheshimu sana mwanaume asiyejitoa kulipia penzi... Sio hawa vidampa lakini.

Alafu Nimecheka sana uliposema kwani yeye ni "tahira" mpaka awe disabled na aishie kuuza nyapu?
 
Mwanamke humheshimu sana mwanaume asiyejitoa kulipia penzi... Sio hawa vidampa lakini.

Alafu Nimecheka sana uliposema kwani yeye ni "tahira" mpaka awe disabled na aishie kuuza nyapu?
Ni udhalilishaji wa jinsia ya kike ambayo ni shupavu na inaweza fanya makubwa , nakemea sana huu udhaifu wa kuwa omba omba
 
Kwa sababu umeshaumizwa kwa hiyo hujali hata na wengine wakiwa kama wewe unaona ni Sawa Tu.

Mimi BushDokta katika kudanga kwangu nimekutana na single maza wa kila aina, wa uswazi, wa Kishua, wa Hali ya chini, wale wa high class Wazuri Sana, wa Ndani na nje ya Nchi.

Kuwa single Maza ni mtihani mkubwa, angalau kwa wale wanazaa mara ya kwanza na kujirudi huwa wanaishi vyema Tu.

Baadhi ya Nchi kwa kufahamu changamoto zao kama Marekani na Israeli zinatenga bajeti kwa ajili ya kuwasapoti single mazas. Ndio uelewe kinachosemwa hapa sio bla bla.
Issue ya single Maza kurudia Baba wa Watoto wake ambaye pengine waliachana kwa sababu ya ukatiri wa huyo malzazi mwenza sio kwa sababu ya upendo Bali ni baada ya kukutana na changamoto za maisha ikiwemo za malezi ya watoto wake, uchumi, na ugumu wa kupata mwenza Mpya.

Vyote hivi vinamfanya arudiene na Baba wa zamani
Kwenye changamoto hapo sikupingi. Ni kazi ya mhusika mwenyewe ajionee then achague kusuka au kunyoa!
 
Wewe nilisha kwambia hivi huu ujinga ulionao kichwani wa kudhani na kufikiri hii mentality mlokaririshwa na wajinga wenzenu mkidhani ndo misingi ya maisha... Waliwafanya mkawa vidampa iishie hukohuko mnakokuja nyie..

Hii mentality kutaka kwa wanawake wakubwa kama nyie ndo inaashiria uozo mbaya katika jamii.

Unafikiri mama yako angekuwa mshenzi wa kufuata pesa angepitiwa na wanaume wangapi?
Huu ujinga ninao na lolote hunifanyi na hunibadilishi!!!

Nakwambia hivi popote unapotoa hoja
kwa kuni quote

"koma tena koma kutaja jina la mama yangu koma kama ulivyokoma ukatoka ukashindwa kurudi mama yako. narudia tena koma.
nikikaa nikatulia nitarudi tena
 
Huu ujinga ninao na lolote hunifanyi na hunibadilishi!!!

Nakwambia hivi popote unapotoa hoja
kwa kuni quote

"koma tena koma kutaja jina la mama yangu koma kama ulivyokoma ukatoka ukashindwa kurudi kwenye uchi wa mama yako. narudia tena koma.
nikikaa nikatulia nitarudi tena
Shikamoo leo dada!
 
Wakuu Habari zenu!

Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.

Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.

Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!

Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.

Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?

Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.

Kuna mwingine kaamka zake huko alipokojolewa anataka Laki
 
Back
Top Bottom