Benoit
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 754
- 1,696
Mada imewagusa negativelyAlafu kwanini mods wasi subiri kwanza uzi ukomae ndo wabunge huku?
Mada imewagusa negativelyAlafu kwanini mods wasi subiri kwanza uzi ukomae ndo wabunge huku?
Sasa unafikiri kwa mindset yako ya kudhani kila mwenye pesa ndie atamtunza binti yako si inaonesha how less mature you are?
Ndo maana wanawake type yenu mnaishia kutumika na kuachilia kwa sababu y'all have nothing to offer than exchange of sex to money... Na Mwanao akiwa na hii mentality atachemka sana. The world outside ain't fair
Teach your child self reliance mapema bwashee the world outside ukimkuta by any chance hana support atalazimishwa na dunia kuuza utu wake.Yeah na sisi baba wa watoto wa kike tuwatengenezee future nzuri watoto wetu , pale palipo na mwanamke ombaomba kuna baba mpumbavu
Kwani mkisha wapopoa wao wanapungukiwa nini na nyie mnaongezewa nini?Mkishakuwa ma single maza Sisi zetu ni kuwapopoa Tu, msilalamike eti tunawanyanyasa.
Single Maza wote walikuwa wakiwaza kama wewe hapo awali
We tangu jana nyuzi hii ya 3 na hutaki kuungwa?Uzi kaunga mod omba omba
Acha kujitapa wewe were here for a discussion and not self reassurance...Kwangu mimi mwanangu haitaji kwanza kutunzwa na binadamu mwingine.............
Mwanangu kaanza kujihudumia kipitia kipaji chake toka akiwa 16 na sasa yuko 20th na kipaji chake kimempa vingi sana ambavyo hata hapa jf wanavihangaikia.
Yes!!! mimi naelewa mwenye pesa atamtunza na hata mnafikia tofauti na maskini akiingia katika maisha ya tofauti...
My dia mimi sijatumika na nimetumia ............
Na nilipo kwa sasa ni ndoto ya wengi kufika.
Kwa nini waunge na huku hoja ni tofauti? Ila muktadha ule ule...mbona kuna nyuzi nyingi za Lissu na hazija ungwa..?We tangu jana nyuzi hii ya 3 na hutaki kuungwa?
😄😄 kuna mod fulani kapata msongoWe tangu jana nyuzi hii ya 3 na hutaki kuungwa?
Ila kumilikiwa na kuwa chini ya mwanaume na kufuata utii wanapinga?Dhana ya kuwa omba omba kuna wakati wala sio makosa ya wazazi.
Kiafrika mwanamke anajua yeye ni wa kupewa tu, kwamba ukiwa nae umhudumie, ni haki yake na wajibu wako. sasa hili tatizo kulimaliza sio kazi ndogo.
Ili wachukue tahadhari kuwafundisha wengine yasiwakute, kuwa single maza ni mtihani mkubwa sio Tanzania Tu hata MarekaniKwani mkisha wapopoa wao wanapungukiwa nini na nyie mnaongezewa nini?I
Zimekuwa nyingi na maoni bado ni yaleyale hakuna mapya sijaona shida zikiungwa!😄😄 kuna mod fulani kapata msongo
Like... mfano mimi ni single mother unipopoe, halafu niende kuwatahadharisha wengine wasiwe single mother kwa sababu kuna kupopolewa?Ili wachukue tahadhari kuwafundisha wengine yasiwakute, kuwa single maza ni mtihani mkubwa sio Tanzania Tu hata Marekani
Unaweza mshauri mtu kashakuwa inlove?Ili wachukue tahadhari kuwafundisha wengine yasiwakute, kuwa single maza ni mtihani mkubwa sio Tanzania Tu hata Marekani
Ni kitu ambacho hakiwezekani after all kila mtu ana story yake nyuma ya kupata mtoto, wao wamekariri tu as if maisha yana formula! Wanahisi ukifuata formula ndio yatakunyookea kumbe hakuna!Like... mfano mimi ni single mother unipopoe, halafu niende kuwatahadharisha wengine wasiwe single mother kwa sababu kuna kupopolewa?
100% uko sahihi, single maza wanapochekwa sio kwamba wanaonewa Bali Wana Una matokeo ya matendo Yao.Unaweza mshauri mtu kashakuwa inlove?
Nilipokuwa nasoma nilikuwa nakazi ya kushauri mabinti nikiona tu wanahangaika na bfs wao mara waishi sogea tukae, ila wanakujibu raha ya ngoma uingie ucheze mwenyewe sio kusimliwa, wakawa wanancheka tu, mtu akishazaa ndio akili zinakuja. Huyo mmoja kanipa kisa chake juzi nimeishia kumuhurumia tu, kwahiyo endeleeni kupigia mbuzi gitar!
Acha kujitapa wewe were here for a discussion and not self reassurance...
Wewe Unge likuwa na mindset ya hela usinge kuja na hoja uchwara humu.. Am not judging your personal life BTW..
Ila ulivyosema kila mtu atafute boya wa kuruka naye as if watu ni kama bidhaa za kuchagua nilikutoa katika wanawake wanao jitambua moja kwa moja.
Sasa kama ulitumia, hukupelekewa moto kisawasawa? Na haupati regret ndani ya nafsi jinsi ulivyo kuwa unageuzwa na kuombwa kama ukoko?
Acha kujitapa kama debe tupu wewe. Aliyefanikiwa huwezi ona anaringa alicho nacho bali tabia na matendo vitamwelezea hata watu was ipo ona alicho nacho.
Kwa sababu umeshaumizwa kwa hiyo hujali hata na wengine wakiwa kama wewe unaona ni Sawa Tu.Like... mfano mimi ni single mother unipopoe, halafu niende kuwatahadharisha wengine wasiwe single mother kwa sababu kuna kupopolewa?
Hayuko tayari kubeba omba omba yeyote hakuna cha kumumdu au kutomuduHakikisha unabeba omba omba unaeendana nae na kum mudu mdogo wangu
Huo ni uamuzi wake na atachagua yeye kitu ambacho mimi hakinihusu.Hayuko tayari kubeba omba omba yeyote hakuna cha kumumdu au kutomudu